Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Eti kamtu kanajifanya ni kadume ooh ni kutomber na kusepa,, Nani kakuzuia mbona uko hapa kujiliza liza Hadi kamasi na anaekuliza Ni jike😅😅😅,, Kama huna akili usioe ndoa Ni kwa wanaume wenye akili sio nyie wapumbavu wapumbavu tu
 
Ni kwamba najilaumu kukutana nae ndo mana leo naleta ushuhuda ili wanaume wenzangu wasiingie mkenge wa kuoa kenge kama wewe Noelia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asie kubaliana na wewe ana lake jambo
 
"Oa mwanamke ambae yeye bila wewe awezi"

Nakubali sana mkuu hii tunaelewa wachache sana[emoji123]
 
Mkuu weka wazi tujifunze vizuri kilichokukuta,inawezekana pia kuna mahali ulimes up au pia upo sahihi sana,kuna watabe wa mahusiano humu wanaweza kutupa kitu
 
[emoji1787][emoji1787] naam! Tunakomeshwa haswaaa,mpaka tuimbe hallelujah.Ila namhurumia mjomba hayo maumivu yake vile yalivyo.Nikikumbuka mwezi wa 4 mwaka jana sina hamu,siamini kama nimepona.Nadhani mapigo aliyopata yule shost ndo walau yamenirudisha hali ya kawaida.

Wanawake Mungu awabariki
 

Ndivyo tulivyofanya wajanja wajifunze hapa hili somo tosha kabisa
 
Hahahahaaa Asante kwa baraka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…