Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Huyo bodaboda siku mwambie akusimulie pia kuhusu wadada wastaarabu,wanaojielewa siyo huyo mmoja tu akubadilishie mtizamo wako. Don't generalize na kutoa conclusion
Yaani hao wadada ambao wanaonekanaga wastaarabu,bodaboda akikufungukia,unaweza ukawa mseja milele,hongera sana wadada wanaojielewa,ambao hawajatulia,wajjstahi basi,maana unaweza ukawa na mapungufu,watu hawakwambii,ukawa unazidi kujitangaza kwa kugawa hovyo,ni sawa na mwanaume mwenye kibamia,mkewe anamjua kua ana kibamia,halafu anakua anamcheat mkewe,hiyo ni mbaya,mkeo anapata aibu na wewe mume mwenye kibamia,unajidhalilisha.
 
Buhongwa Mwanza,
Nilisha pigiaga sana hiyo kitaa,
Mademu, ronyo ronyo saaana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza ukagongewa demu wako..!! Unless otherwise uwe mpiga nyeto au mnunuzi wa makahaba hapo ndo hutagongewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…