Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,379
- 5,499
Huyo boda hajala kiapo kwani maana boda wengi wamekula viapo wana siri nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hao wadada ambao wanaonekanaga wastaarabu,bodaboda akikufungukia,unaweza ukawa mseja milele,hongera sana wadada wanaojielewa,ambao hawajatulia,wajjstahi basi,maana unaweza ukawa na mapungufu,watu hawakwambii,ukawa unazidi kujitangaza kwa kugawa hovyo,ni sawa na mwanaume mwenye kibamia,mkewe anamjua kua ana kibamia,halafu anakua anamcheat mkewe,hiyo ni mbaya,mkeo anapata aibu na wewe mume mwenye kibamia,unajidhalilisha.Huyo bodaboda siku mwambie akusimulie pia kuhusu wadada wastaarabu,wanaojielewa siyo huyo mmoja tu akubadilishie mtizamo wako. Don't generalize na kutoa conclusion
Bro katudharaulisha sana kiumeniWanaume punguzeni umbea.....
Hahahaha.. mzee wetu mstaafu alituhusia "ukitaka kula sharti na wewe uliwe"Wakati mnajinadi kula tunda kimasihara, na nyie huku wake zenu wanakong'oliwa 😂😂
Wanaumeeeeee........!!!!
Buhongwa Mwanza,Kwakweli vijana msioe, tafuta watoto ufanye mambo yako yatakupa furaha, kuoa ni kujivika mabomu makubwa sana na kujisogeza karibu na kifo, hata Wanasayansi wakubwa wenye akili timamu hawakuoa, if you want to achieve grater things tafuta mwanamke mwenye akili au usioe kabisa...
Pitapita zangu baada ya shughuli nimekaa na mwana mmoja tunapanga mipango bodaboda ikashuka imebeba mdada mida ya saa 12 jioni, nikamwambia boda akirudi anipitie...
Alivyorudi akanambia broo unajua nini? Nikamjibu sijui!!! Broo sidhani kama nitaoa nikamuuliza kwanini? akajibu unamuona huyu mdada nimeshuka nae? Nikamjibu ndio, akasema huyu binti amekuja sokoni kuemea buhongwa hapo akapigiwa simu na hawara yake akaacha kapu la mboga kwa muuza mboga akadaka boda chap ili hawai kuchezea kongamano. Nikamuuliza amejuaje ni mke wa mtu? akasema anamjua vizuri alafu kavaa na pete, then akamwambia boda baada ya d.k 15 atampigia amfate amchukue.....
nikwamwambia boda wazo lako ni sahii imagine hapo mwanamke anarudi home mkavuuu kabeba kapu la mboga kumbe katoka kuchezea "boloyang"
Kuoa ni kujivika mabomu kudadeki
NashangaaKwa hiyo huyo mwanamke mmoja kabeba dhambi za wanawake wote?
Acha ushamba dogo
Unaweza ukagongewa demu wako..!! Unless otherwise uwe mpiga nyeto au mnunuzi wa makahaba hapo ndo hutagongewaKwakweli vijana msioe, tafuta watoto ufanye mambo yako yatakupa furaha, kuoa ni kujivika mabomu makubwa sana na kujisogeza karibu na kifo, hata Wanasayansi wakubwa wenye akili timamu hawakuoa, if you want to achieve grater things tafuta mwanamke mwenye akili au usioe kabisa...
Pitapita zangu baada ya shughuli nimekaa na mwana mmoja tunapanga mipango bodaboda ikashuka imebeba mdada mida ya saa 12 jioni, nikamwambia boda akirudi anipitie...
Alivyorudi akanambia broo unajua nini? Nikamjibu sijui!!! Broo sidhani kama nitaoa nikamuuliza kwanini? akajibu unamuona huyu mdada nimeshuka nae? Nikamjibu ndio, akasema huyu binti amekuja sokoni kuemea buhongwa hapo akapigiwa simu na hawara yake akaacha kapu la mboga kwa muuza mboga akadaka boda chap ili hawai kuchezea kongamano. Nikamuuliza amejuaje ni mke wa mtu? akasema anamjua vizuri alafu kavaa na pete, then akamwambia boda baada ya d.k 15 atampigia amfate amchukue.....
nikwamwambia boda wazo lako ni sahii imagine hapo mwanamke anarudi home mkavuuu kabeba kapu la mboga kumbe katoka kuchezea "boloyang"
Kuoa ni kujivika mabomu kudadeki
Shemela, kwani chanii kutujumlisha wotee..!!??Wanaume punguzeni umbea.....
Na nyie mnapenda sly queen mnawaita pisiWanawake wengi ni walewale sio wote lakini hawa slay queen pasua kichwa
Hatari sana!Hahahaha.. mzee wetu mstaafu alituhusia "ukitaka kula sharti na wewe uliwe"
Ila wanaume ndo wametulia?Haya mambo bwana ndio maana walisema haina makombo,Ofisi kwetu kuna Wanawake 3 wanaliwa na washikaji Fulani na wameolewa.
Wanawake hawajatulia kabisa,bora ngozi nyeupe watu wanaheshima.
Mweeeeh Mweeeeh Mweeeeh..!!! Fita ni Fita gwa kukhajha..!!Uchi wake yeye hatumii wa mtu
😂😂Niponipo hapa mzee wa etumba!! Etumba! Abaaabaaabaaabaaaaa
Na mzee wetu mstaafu mwingi alisema ile kitu imekaa pabayaHahahaha.. mzee wetu mstaafu alituhusia "ukitaka kula sharti na wewe uliwe"