Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kama umeamua kutokuoa that Good for you Ila hutakua wa-kwanza na kutokuoa sio jambo la msingi sana Kama usiwe kero kwa wale ambao wanampango wa kuoa wako walioa wanafurahia maisha sana na wako walioa ndoa inawatesa,Maumivu ya nafsi ni makubwa kuliko maumivu yoyoteee.
yoteyametimia
Accumen Mo
scolastika
buccaneer
Msisahau na kusoma post #94
#YNWA
Kuna kuoa mke wako na kuoa mke wetu.Waoaji tutaendelea kuoa na wasio oa waache kisha badae tutakutana tu.
Na kila mtu awe na maamuzi yake.
pole sana dada.Honestly kizazi cha saiv nawashauri #kataa ndoa si wanawake wala wanaume honestly hamna la maana zaidi ya kutiana umaskini na stress, looking for a way out inshort najutaaaa
💯 Asilimia napigia na msumari 😁Kijana asiyetaka kuoa, NI MWOGA WA MAISHA TU.
Hakika 💯Tuko pamoja mkuu
Leo nmejipanga vzuri upande wa mashambuliz nasubir vichwa ngumu waje😂Tuko pamoja mkuu
Umekuja na I'd mpya? Mbona kama ni rickboyMm FlyingDutchman nikiwa mojaa ya magreat thinkers wachache tunaopatika JF smhn kama ntamuuz MTU yyte Kwa kujitanabaisha napenda Kuwambia vijaa that's say it's a scam
Vijana wachache, wavivu ndo wanaojaribu kupotosha majority
Kijana tafuta pesa ukipata settle, oa kijana tengeneza familie hao ndo nduguzo
" Fainali uzeeni when solitude hit you it's when you will realise that only the empire you built will offer you consolation"
Good evening Africa ni hayo TU.
Naunga hoja mkono mkuu ...Mm FlyingDutchman nikiwa mojaa ya magreat thinkers wachache tunaopatika JF smhn kama ntamuuz MTU yyte Kwa kujitanabaisha napenda Kuwambia vijaa that's say it's a scam
Vijana wachache, wavivu ndo wanaojaribu kupotosha majority
Kijana tafuta pesa ukipata settle, oa kijana tengeneza familie hao ndo nduguzo
" Fainali uzeeni when solitude hit you it's when you will realise that only the empire you built will offer you consolation"
Good evening Africa ni hayo TU.
Hongera Kwa maandalizi ndugu yanguLeo nmejipanga vzuri upande wa mashambuliz nasubir vichwa ngumu waje😂
Nmefanya research ndogo nikagundua vjana wenzangu msotaka kuoa weng ni insecured,,,,,Ndoa Ni Wizi, Kataa Ndoa
Kwann mkuu
Ni mashogaNmefanya research ndogo nikagundua vjana wenzangu msotaka kuoa weng ni insecured,,,,,
Time waits for nobody 💯