Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kama umeamua kutokuoa that Good for you Ila hutakua wa-kwanza na kutokuoa sio jambo la msingi sana Kama usiwe kero kwa wale ambao wanampango wa kuoa wako walioa wanafurahia maisha sana na wako walioa ndoa inawatesa,Maumivu ya nafsi ni makubwa kuliko maumivu yoyoteee.
yoteyametimia
Accumen Mo
scolastika
buccaneer
Msisahau na kusoma post #94
#YNWA
Ambao hawajaoa wanakuwa na wakati mgumu sana wanapokua wazee unaweza ukaiponda sana ukiwa na nguvu ili wakati nguvu huna utajikuta unaoa bila kupenda