Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hatupingi ndoa ila tunatumia haki yetu ya Kimaandiko ya kutofunga ndoaUnachosema ni kweli, ndoa nyingi zinaingia zikiwa na misingi mibovu..
Ila haina maana tupinge ndoa na kuhamasisha.
Watu wazuri wapo na wabaya wapo.. nipo mkoa flani katika wilaya flani hakuna uchafu na ujaribifu kama wa huko mjini.. na aanafata kila taratibu..
Ndoa inabaki kuwa ni kusudi la Mungu na ni njema.. changamoto zake haifanyi tuanzishe kampeni ya kupinga..
Kuna mambo mengi mabaya yana athari sana kwa watu mbona hatuyapingi wazi wazi.. ila why ndoa ? Kuna ajenda mbaya hapo unakataa ndoa then ije nini ?
Kupinga na kuto amini kwao, haifanyi neno la Mungu kuwa weak.. mwisho wa siku kila mtu atavuna alichopanda.. Tupo nyakati z mwisho hizi.. neno linasema "Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako."Bado... Watakuja wasio na dini wala kuamini chochote kukupinga😂😂😂
Maandiko yepi mnayotumia mkuu wangu ? Tuwekee na sie twaweza jifunza kituHatupingi ndoa ila tunatumia haki yetu ya Kimaandiko ya kutofunga ndoa
Kila la kheri!Mkuu sitaki ndoa kabsa ila kuoa bado sijafanya maamuzi kwanza
Mm nakataa ndoa ila nabinti zangu wawil mapacha nawapenda mno ,naomba nisihusishwe na chuki ya wanawake mkuu.1. Mchukia wanawake ndio huleta picha explicit kama hio kwa hadhara au hujaielewa picha yake??.
2. Angalia posts zote alizoleta kuhusu wanawake utagundua kitu.
Yaani kwa akili hizi za kuwajadili kina riri ndomjiite husband material.? Nah nakataa ndoa sio kwa kila mtu😪🤣🤣🤣🤣🤣
Timberlake aimshikashika na kumbambia kwenye "Rehab" pale kwenye gari
Daah nyakati za mwsho tenaKupinga na kuto amini kwao, haifanyi neno la Mungu kuwa weak.. mwisho wa siku kila mtu atavuna alichopanda.. Tupo nyakati z mwisho hizi.. neno linasema "Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako."
Mie naongelea zinazofungwA mkuuSio kila wiknd tu kila siku na kila dakika ndoa zinavunjika
Ndio tupo nyakati za mwisho, sijui umeelewaje hii statementDaah nyakati za mwsho tena
1. Wakoritnho 7:37–40Maandiko yepi mnayotumia mkuu wangu ? Tuwekee na sie twaweza jifunza kitu
🤣🤣🤣 hizo zilikuwa soga tu kuchangamsha kijiwe jamaniYaani kwa akili hizi za kuwajadili kina riri ndomjiite husband material.? Nah nakataa ndoa sio kwa kila mtu😪
Nina wasiwasi na hilo, sababu nina uhakika hauna uhusiano mzuri na mama yako,lol...ungekua na foundation nzuri ya wazazi particularly mama usingekataa ndoa....hivyo kusema unapenda mabinti zako nina wasiwasi sana..Mm nakataa ndoa ila nabinti zangu wawil mapacha nawapenda mno ,naomba nisihusishwe na chuki ya wanawake mkuu.
1 Wakorintho 7:91. Wakoritnho 7:37–40
37 Lakini kama mwanamume ameshaamua moyoni mwake kuto kuoa bila kulazimishwa na mtu; kama anaweza kujitawala kabisa, basi anafanya vyema kutokumuoa mchumba wake.
38 Kwa hiyo mwana mume anayeamua kumuoa mchumba wake anafanya vizuri, lakini yule anayeamua kutokumuoa anafanya vizuri zaidi.
39 Mwanamke aliyeolewa amefungwa kwa mume wake maadamu anaishi. Kama mumewe akifa, basi mwanamke huyo yuko huru kuolewa na mume mwingine ampendaye, ila iwe katika Bwana.
40 Lakini kwa upande wangu naona kuwa angekuwa na furaha zaidi akibaki alivyo.
Inawezekana hata Paulo mwandishi wa hiyo Wakorintho hakuoa1 Wakorintho 7:9
Hata hivyo, kama mtu hawezi kujizuia, basi na aoe; maana ni afadhali zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Je? Unaweza jizuia usifanye uasherati
Haki ya kutofunga ndoa unayo kweli kimaandiko, ila katika maandiko hayohayo Amri 10 za Mungu inakataza usizini.Hatupingi ndoa ila tunatumia haki yetu ya Kimaandiko ya kutofunga ndoa
Mimi ni kama Ayubu, kwenye AYUBU 31:1 alisema; “Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani."Haki ya kutofunga ndoa unayo kweli kimaandiko, ila katika maandiko hayohayo Amri 10 za Mungu inakataza usizini.
Kama hutaki ndoa basi usizini.
Ana hasira kali na wanawake hadi unamuonea hurumaWewe ni wale wanaochukia wanawake, watu toxic Km nyingi mlitakiwa msiwepo kny hii forum kuwa influence wengine upuuzi
🚮Mimi ni kama Ayubu, kwenye AYUBU 31:1 alisema; “Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani."
Huyo mke wake ana kazi!, very unhappy home.Ana hasira kali na wanawake hadi unamuonea huruma