Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Tumia maneno mazuri Yenye busara kidogo kumtazamia mwenzio kuwa shoga ni kosa kubwa Sana
Tatizo ni kwamba kasumba ya majibu yasiyo na maadili imekuwa utamaduni kwa wengi humu.

Kukataa ndoa kwa mantiki ya kuwa lazima marekebisho yafanyike ni muhimu zaidi kuliko mayowe na matusi wanayowatukana vijana wanaokataa ndoa kwa mantiki
 
Nina wasiwasi na hilo, sababu nina uhakika hauna uhusiano mzuri na mama yako,lol...ungekua na foundation nzuri ya wazazi particularly mama usingekataa ndoa....hivyo kusema unapenda mabinti zako nina wasiwasi sana..
Nina mama na baba tena ungeona nilivyo fanana na bi mkubwa usingesema hayo , mama yangu now ana 70 na mzee 82 hawana ndoa wala hawajui pete na vyeti ni nini
 
Ni vyema ukawa una-reply baada ya kuelewa kilichoandikwa na siyo kutoa comment based on feeling.
 
Gari ni Mali? una shida kwenye ubongo wako.

Kwahiyo kaka yako yeye ndio hana mke? ni mtawa?

Vijana mliozaliwa miaka ya 2000 kuja juu bahati mbaya mmezaliwa na roho ila hamna nafsi, too bad nawasikitikia sana.
Kwahiyo Gari ni matako kila mtu anayo....!!
 
Mahakama ikiamua watoto wabaki na mama, bado baba anatakiwa atunze watoto na awasomeshe ingawa kwenye mgao watoto hawafikiriwi, mgao wa baba ni pamoja na watoto!
 
Ndoa ni wito. Kupinga ndoa ni mpango shetani.. ili aje aintroduce ndoa zake za kishetani shetani.. kupinga ndoa ni kumpinga Mungu na mapenzi yake ya ndoa kwa mwanadamu na makusudi anayotaka yapitisha kupitia ndoa
Upo sawa, lakini wapiganie mabadiliko ya Sheria kama wanawake walivyopigania wakisaidiwa na wanasiasa.
 
Kwa hiyo solution ni kukataa ndoa au kuongea na mamlaka husika juu ya maboresho ya baadhi ya sheria za ndoa!
Mamlaka gani iko tayari kusikiliza hoja za vijana ?! Hii serikali inayowanyima vijana ajira na kutoa upendeleo kwa wanawake au ipi ?!! Mamlaka zinazowafunga jela wanaume kwa kesi za uongo za ubakaji ?!!

Kuna jamaa tulisoma nae alikua mfanyabiashara mkoani Katavi akawa amemkopesha mwanadada, yule dada hakulipa jamaa akamfuata kumkumbusha alipofika binti kapiga kelele eti kabakwa jamaa akakamatwa kesi ikaendeshwa jamaa akapigwa miaka 30 bila hatia. Baada ya miaka 8 akiwa jela mwanamke akaja kusema alimsingizia kwakua hakua na pesa ya kumlipa.

Nataka kusema nini Mamlaka hazimsikilizi mwanaume na hata statistics zinaonyesha 85% ya kesi za ubakaji ni za uongo. Je bado unawashauri vijana "wakaseme hoja zao kwa mamlaka" ??!

Serikali zimekurupukia women empowerment na kujikuta vipaumbele vyote ni kwa wanawake huku wanaume wakisiginwa kwa nyundo ya chuma na wanawake wanatumia nafasi hiyo kuwaumiza SANA vijana. Na binafsi kusema ukweli nimetokea kuwachukia sana wanawake (fuatilia posts na comment zangu utagundua sitaki kabisa shobo na ke) Hata nikute mwanamke anabakwa hapo napita zangu bila kusaidia chochoke.

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism


Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi
 

Hizo akili za kuwaza kuwa kila asiyeoa
na kutokukubaliana na hizi sheria uchwara za ndoa (ambazo wewe unadai ni mpango wa Mungu), basi anapigia chapuo ushoga ni upunguani, maana hata hao mashoga wenyewe tunaona kila siku wanafunga ndoa.

Logically watu wanapinga mikataba ya kindoa ambayo imeegemea kwa KE, hawapingi mwanaume kujamiiana na mwanake.
 
Mm nakataa ndoa ila nabinti zangu wawil mapacha nawapenda mno ,naomba nisihusishwe na chuki ya wanawake mkuu.
Mabinti zako nao wakikua watakutana na wakataa ndoa na wataishia kuzalishwa alafu watakua wametimiza lengo lako la kukataa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…