Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Tumia maneno mazuri Yenye busara kidogo kumtazamia mwenzio kuwa shoga ni kosa kubwa Sana
Tatizo ni kwamba kasumba ya majibu yasiyo na maadili imekuwa utamaduni kwa wengi humu.

Kukataa ndoa kwa mantiki ya kuwa lazima marekebisho yafanyike ni muhimu zaidi kuliko mayowe na matusi wanayowatukana vijana wanaokataa ndoa kwa mantiki
 
Nina wasiwasi na hilo, sababu nina uhakika hauna uhusiano mzuri na mama yako,lol...ungekua na foundation nzuri ya wazazi particularly mama usingekataa ndoa....hivyo kusema unapenda mabinti zako nina wasiwasi sana..
Nina mama na baba tena ungeona nilivyo fanana na bi mkubwa usingesema hayo , mama yangu now ana 70 na mzee 82 hawana ndoa wala hawajui pete na vyeti ni nini
 
Pole sana umepita kwenye jamii ya hovyo ambayo imekuwa mfano mbaya hadi imekukatisha tamaa ya kuoa. Mwisho wa siku utakuja kuolewa wewe sasa( ashakum si matusi) mashoga wengi ukiwauliza walianzaje ushoga huwa wana sababu kabisa konki. Moja wapo ni kama hizo zako.
Ni vyema ukawa una-reply baada ya kuelewa kilichoandikwa na siyo kutoa comment based on feeling.
 
Gari ni Mali? una shida kwenye ubongo wako.

Kwahiyo kaka yako yeye ndio hana mke? ni mtawa?

Vijana mliozaliwa miaka ya 2000 kuja juu bahati mbaya mmezaliwa na roho ila hamna nafsi, too bad nawasikitikia sana.
Kwahiyo Gari ni matako kila mtu anayo....!!
 
Mimi nipo kwenye ndoa na ninapambana bila kuchoka nichomoke kwenye ndoa kutokana na mambo ya ndani ya ndoa yalivyo.

Nilikuwa kimya nasoma maoni ya wanaokataa ndoa na wanaoipa chapuo ndoa.

Hoja yangu imebase kwenye mantiki zolizowekwa na sheria. Sheria ya ndoa ya Tanzania inapeleka hasara kubwa kwa wanaume na kumfaidisha sana mwanamke.

  1. Sheria ya ndoa inamtaka mwanaume kumtunza mke wakati wote wawapo kwenye ndoa
  2. Sheria ya ndoa inammilikisha mwanamke mali za mwanaume za ndani ya ndoa. Hapa maana yake jasho la mwanaume linagawanywa kuwa jasho la wanandoa wote wakati wa ndoa
  3. Endapo wakaamua kutalikiana, mwanaume hupewa gawio lisiloakisi jasho lake na mwanamke hupata gawiwo zaidi ya jasho lake.
  4. Sheria ya ndoa haimpi jukumu mwanamke ndani ya ndoa bali majukumu.yote anapewa.mwanamume
KUna vitu vingi havijakaa sawa kwenye ndoa ambavyo vinawasababisha vijana kuwa bold and clear kukataa ndoa.


Tuzungumze maboresho ya sheria ya ndoa ndipo vijana waanze kurejea ndoani.

Mie.mwenyewe nataka leo kesho.kutemana na mwanandoa mwenzangu..
Mahakama ikiamua watoto wabaki na mama, bado baba anatakiwa atunze watoto na awasomeshe ingawa kwenye mgao watoto hawafikiriwi, mgao wa baba ni pamoja na watoto!
 
Ndoa ni wito. Kupinga ndoa ni mpango shetani.. ili aje aintroduce ndoa zake za kishetani shetani.. kupinga ndoa ni kumpinga Mungu na mapenzi yake ya ndoa kwa mwanadamu na makusudi anayotaka yapitisha kupitia ndoa
Upo sawa, lakini wapiganie mabadiliko ya Sheria kama wanawake walivyopigania wakisaidiwa na wanasiasa.
 
Kwa hiyo solution ni kukataa ndoa au kuongea na mamlaka husika juu ya maboresho ya baadhi ya sheria za ndoa!
Mamlaka gani iko tayari kusikiliza hoja za vijana ?! Hii serikali inayowanyima vijana ajira na kutoa upendeleo kwa wanawake au ipi ?!! Mamlaka zinazowafunga jela wanaume kwa kesi za uongo za ubakaji ?!!

Kuna jamaa tulisoma nae alikua mfanyabiashara mkoani Katavi akawa amemkopesha mwanadada, yule dada hakulipa jamaa akamfuata kumkumbusha alipofika binti kapiga kelele eti kabakwa jamaa akakamatwa kesi ikaendeshwa jamaa akapigwa miaka 30 bila hatia. Baada ya miaka 8 akiwa jela mwanamke akaja kusema alimsingizia kwakua hakua na pesa ya kumlipa.

Nataka kusema nini Mamlaka hazimsikilizi mwanaume na hata statistics zinaonyesha 85% ya kesi za ubakaji ni za uongo. Je bado unawashauri vijana "wakaseme hoja zao kwa mamlaka" ??!

Serikali zimekurupukia women empowerment na kujikuta vipaumbele vyote ni kwa wanawake huku wanaume wakisiginwa kwa nyundo ya chuma na wanawake wanatumia nafasi hiyo kuwaumiza SANA vijana. Na binafsi kusema ukweli nimetokea kuwachukia sana wanawake (fuatilia posts na comment zangu utagundua sitaki kabisa shobo na ke) Hata nikute mwanamke anabakwa hapo napita zangu bila kusaidia chochoke.

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism


Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi
 
Ndoa haijawahi kuacha kuwa npango wa Mungu. Ujuaji wa binadamu wa kisasa hauwezi kufanya ndoa isiwe mpango wa Mungu.

Lakini pia kama unapinga ndoa unakuwa na agenda gani nyingine? Panga ndoa na uweke suluhu zake, ukipinga ndoa sisi tutajiuliza unataka nini, tuendeleze uzinzi na uasherati? Tupromote punyeto au turuhusu watoto wetu wawe mashoga na wasagaji?

Changamoto za ndoa ziwekewe solutions, na kama mmoja au wawili wanashindwa kumudu ndoa, wasiwe chanzo cha kufanya wengine wazikatae kwa kutoa sababu zosizo na mantiki.

Hizo akili za kuwaza kuwa kila asiyeoa
na kutokukubaliana na hizi sheria uchwara za ndoa (ambazo wewe unadai ni mpango wa Mungu), basi anapigia chapuo ushoga ni upunguani, maana hata hao mashoga wenyewe tunaona kila siku wanafunga ndoa.

Logically watu wanapinga mikataba ya kindoa ambayo imeegemea kwa KE, hawapingi mwanaume kujamiiana na mwanake.
 
Mm nakataa ndoa ila nabinti zangu wawil mapacha nawapenda mno ,naomba nisihusishwe na chuki ya wanawake mkuu.
Mabinti zako nao wakikua watakutana na wakataa ndoa na wataishia kuzalishwa alafu watakua wametimiza lengo lako la kukataa ndoa
 
Back
Top Bottom