Ogopa sana mwanamke anayekulazimisha kumuoa, anayekupigia kelele kila muda za eti tuoane tuoane, mpaka unioe n.k
Anadai kuwa mke mdogo huyo ndiye amani ya moyo wake. Mke huyo humpatia tabasamu la moyo. Anadai tatizo la mke mkubwa ni chuki, visa na minuno isiyo na miguu
Kaka mkubwa, unafahamu anayokufanyia mkeo mdogo?
Kama una tabia ya kukagua simu ya mwanamke uache mara moja, na hiyo miaka 50+ uliyonayo atakuja kufa kiholo kama mbuzi wa kafara
Kaka mkubwa, kabla hatujafahamiana, hata mimi nimewahi kumtongoza huyo mkeo, ila nilikuja kukimbia hilo balaa baada ya kugundua kuwa huyo mwanamke ana damu ya dudu ya kujaribu mikuyenge ya kila aina
Kaka mkubwa, pesa unazompatia za matumizi anazitumia kuandaa msosi kwa ajili ya kijana mmoja mrefu hivi, mweupe na mvaa mi ear phone nyeupe ndefu na vipensi visivyoistili vyema mironjo yake. Kwa mtazamo, huyo kijana anao. Kama anampeleka mkeo peku, basi jua tu ushauvaa
Bado ana ka kibenteni kengine keusi keusi hivi ambako kanamfanyia visa vya hapa na pale. Unaporudi nyumbani na kumkuta mkeo yuko na majonzi, jua tu sio kwa sababu yako, bali ni maumivu anayopatiwa na huyo kijana
Kaka mkubwa, unagharamia sana aisee, chumba cha mkeo kimesheheni mali ndani. Pongezi sana, unamjali! Isingekuwa kuficha codes ningelikutajia pako vipi na nisingehitaji kujibu swali la nilifika vipi humo ndani
Kaka mkubwa, mkeo ana bahati ya mtende. Hujawahi hata siku moja kuwahi tukio. Mkeo anagegedewa kwenye kitanda chako, ila tu unapofika kwako, dakika tano nyuma, mkeo anakuwa amekwisha agana na kipande cha kidali chenye midevu yake
Kaka mkubwa, mkeo sio mkimya kama unavyomuona, wala usidhani kwamba anaogopa wanaume kama anavyoku act ia. Kaka, umepigwa. Nakuomba utulie hivyo hivyo kama unaogeshwa, ukikurupuka tu, kile kiwanja mlichonunua na kile kiduka cha nafaka mtakipiga pasu. Mkeo tayari kashaandaa mashambulizi, pia wanaume wawili wamekwisha weka hisa zao hapo
UJUMBE: KATAA NDOA, NDOA NI WIZI, NDOA NI USALITI, NDOA NI KIFO, NDOA NI ZAIDI YA SHETANI, NDOA NI JEHANAMU
KIJANA, UTAKUFA KINYAKYUSA. ACHANA NA NDOA
MTAKUJA KUNIKUMBUKA