Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kabisa, sio wanajifanya hawataki Ndoa, alafu wanataka Kuzalisha na kuzalishwaa

Unakuta mkataa Ndoa, huyohuyo ana watoto .

Unamuangaliaaa, unachekaaa baada ya kugundua kua ana stress !!.

Hutaki Ndoa, Katana na kuzaa Sasa !!.
 
[emoji38][emoji38]daah haya mambo siyo ya kukurupukia kufanya maamuzi!
 
Hello JF,

Leo nimejiuliza nini kilipelekea wazazi wa WAKATAA NDOA kukosea????

Umri wa ujana unakoma miaka 35,

Na sijui kwa nini naamini wanaokataa ndoa ni miaka 34 kushuka chini...

Naamini pia ndoa ni kama dini,

Ukizaliwa wazazi wako wapo ndoani, ndoa yenye heshima na upendo,

Na wewe utafuata misingi hio hio, hautaanza kuquestion hili ama lile

ila

Ukizaliwa mwanaume katika familia mama yupo abusive,Anaongea kama chiriku, au wazazi kutengana na mama kuchukua assets zote..

Basi mtoto wa kiume utachukulia wanawake ni wabinafsi,wakorofi na wagomvi

Uta avoid ndoa kwa nguvu zote,

Kwangu mimi WAKATAA NDOA wa leo,ni matokeo ya ndoa zenye matatizo za nyuma (Toxic marriage)/dysfunctional families.

Swali ni nini kilibadilika miaka 34 nyuma, kilichopelekea ndoa kuwa ngumu kwa wazazi hawa ambapo matokeo ni WAKATAA NDOA????????

Something must have changed,

Nijuzeni.

Lengo ni kuwaelewa.... 😁
 
Naongezea Pia utapeli kutoka upande WA Pili umeongezekA

Unakutana na PiSi ata week haijaisha anaanza kukuuliza Unaingiza sh ngapi Kwa siku/mwezi ? Amekua TRA 🥴

NAKAZIA

MAHARI NI BATILI !

NDOA NI BATILI !
 
Kwani zamani hali ilikuwaje? kulikua hamna utapeli?
 
Utapeli WA sasa ivi umekua updated Sana,

Kipindi kile wanawake wengi walikua Wana Upendo WA dhati, uvumilivu, Kujishusha, Uaminifu n.k

Kitu sasa ivi wanawake wengi wanakimbizana kuwa nacho n Matrakoo na kutanguliza ela kama watoa huduma WA zile app za kucheat 🥴
 
Utapeli WA sasa ivi umekua updated Sana,

Kipindi kile wanawake wengi walikua Wana Upendo WA dhati, uvumilivu, Kujishusha, Uaminifu n.k

Kitu sasa ivi wanawake wengi wanakimbizana kuwa nacho Matrakoo na kutanguliza ela kama watoa huduma WA zile app za kucheat 🥴
Wanawake wa zamani umewajuaje? Au wewe ni Mbaba wa zamani?
 
Back
Top Bottom