Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Mimi nakatishwa tamaa na wadada ninaokutana nao. Ni wajanja wajanja Sana. Hadi nawaogopa yaanishida watu wanataka wapate watoto, alafu mama zao hawawataki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nakatishwa tamaa na wadada ninaokutana nao. Ni wajanja wajanja Sana. Hadi nawaogopa yaanishida watu wanataka wapate watoto, alafu mama zao hawawataki!
kama kawaida yao!Umeongea kweli japo kuna raia watakuja kuhidhihaki hapa.
ndoa wakatae,, lakini wasilete watoto duniani kuteseka, pesa sio kila kituMtu yoyote anayekataa ndoa bila shaka ametokea katika familia ya ajabu kimalezi na hana maadili wala hofu ya ya Mungu.
ila kuwazalisha unaona ni kawaida?Mimi nakatishwa tamaa na wadada ninaokutana nao. Ni wajanja wajanja Sana. Hadi nawaogopa yaani
Nina kawaida nikiingua kwenye Mahusiano nakuambia ukweli mapema kwamba Sina mpango wa kuwa na Mtoto. Sasa ukinitegeshea utajua Mwenyewe.ila kuwazalisha unaona ni kawaida?
[emoji38][emoji38]daah haya mambo siyo ya kukurupukia kufanya maamuzi!Kabisa, sio wanajifanya hawataki Ndoa, alafu wanataka Kuzalisha na kuzalishwaa
Unakuta mkataa Ndoa, huyohuyo ana watoto .
Unamuangaliaaa, unachekaaa baada ya kugundua kua ana stress !!.
Hutaki Ndoa, Katana na kuzaa Sasa !!.
ni kheri itokee bila kukusudia, sio kujidai kwamba unataka watotoNina kawaida nikiingua kwenye Mahusiano nakuambia ukweli mapema kwamba Sina mpango wa kuwa na Mtoto. Sasa ukinitegeshea utajua Mwenyewe.
usinifokee [emoji1549]Usitupangie maisha
Naongezea Pia utapeli kutoka upande WA Pili umeongezekAHello JF,
Leo nimejiuliza nini kilipelekea wazazi wa WAKATAA NDOA kukosea????
Umri wa ujana unakoma miaka 35,
Na sijui kwa nini naamini wanaokataa ndoa ni miaka 34 kushuka chini...
Naamini pia ndoa ni kama dini,
Ukizaliwa wazazi wako wapo ndoani, ndoa yenye heshima na upendo,
Na wewe utafuata misingi hio hio, hautaanza kuquestion hili ama lile
ila
Ukizaliwa mwanaume katika familia mama yupo abusive,Anaongea kama chiriku, au wazazi kutengana na mama kuchukua assets zote..
Basi mtoto wa kiume utachukulia wanawake ni wabinafsi,wakorofi na wagomvi
Uta avoid ndoa kwa nguvu zote,
Kwangu mimi WAKATAA NDOA wa leo,ni matokeo ya ndoa zenye matatizo za nyuma (Toxic marriage)/dysfunctional families.
Swali ni nini kilibadilika miaka 34 nyuma, kilichopelekea ndoa kuwa ngumu kwa wazazi hawa ambapo matokeo ni WAKATAA NDOA????????
Something must have changed,
Nijuzeni.
Lengo ni kuwaelewa.... 😁
Kwani zamani hali ilikuwaje? kulikua hamna utapeli?Naongezea Pia utapeli kutoka upande WA Pili umeongezekA
Unakutana na PiSi ata week haijaisha anaanza kukuuliza Unaingiza sh ngapi Kwa siku/mwezi ? Amekua TRA 🥴
NAKAZIA
MAHARI NI BATILI !
NDOA NI BATILI !
Utapeli WA sasa ivi umekua updated Sana,Kwani zamani hali ilikuwaje? kulikua hamna utapeli?
Wanawake wa zamani umewajuaje? Au wewe ni Mbaba wa zamani?Utapeli WA sasa ivi umekua updated Sana,
Kipindi kile wanawake wengi walikua Wana Upendo WA dhati, uvumilivu, Kujishusha, Uaminifu n.k
Kitu sasa ivi wanawake wengi wanakimbizana kuwa nacho Matrakoo na kutanguliza ela kama watoa huduma WA zile app za kucheat 🥴
Ukijichanganya na wezee WA zamani utaelewaWanawake wa zamani umewajuaje? Au wewe ni Mbaba wa zamani?
Kusema wazee wa zamani wote ndoa zao zilikua smooth, huu ni uongoUkijichanganya na wezee WA zamani utaelewa
Ndoa na Mahari ni BATILI please 🥴
Sijasema smooth, ridhia yale niliyo ya sema awaliKusema wazee wa zamani wote ndoa zao zilikua smooth, huu ni uongo
Tumetoka kwa mama zetu, wametulea kama walikua na heshima kwa ndoa zao mbona sisi Sio? Nijibu kwanzaSijasema smooth, ridhia yale niliyo ya sema awali
Social media na maisha ya kufake yamewatoa kwenye reliTumetoka kwa mama zetu, wametulea kama walikua na heshima kwa ndoa zao mbona sisi Sio? Nijibu kwanza