Unasema bila aibu kwamba hutoingia kwenye ndoa (hutaoa) ila utazalisha watoto uwalee mwenyewe!!
Hivi unajua maumivu wanayoyapta watoto hao wewe??
[emoji16]kama wewe ungelelewa katika mazingira kama hayo unayoyafikiria kuwalea wanao, usingethubutu kuwaza hayo!
Maamuzi yako ya kukataa ndoa ni kwa faida yako wewe(ubinafsi), hakuna mtoto atafurahia kulelewa na mzazi mmoja au wazazi kutengana kwa namna yoyote ile, tena ni ukatili!
Wewe umelelewa na baba na mama pale nyumbani ukiwa unajimwayamya utakavyo, hujuwi ulisemalo;
Watafute waliolelewa na mzazi mmoja wakueleze ni jinsi gani wameathirika kisaikolojia.
KATAA NDOA, USIZA£/ZALISH£