Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Na Una uhakika wanawake wa zamani walikua hawana maisha ya ku fake???

Social media imemtoaje mwanamke wa kisasa kumfanya asiye na hadhi ya ndoa? Explain.
Wanawake wazamani hata kama walikua na maisha ya kufake Kwa baadhi yao vitu nilivyovitaj walikua navyo.

Sociali media's zimewa affect Sana wanawake wengi sociological , fikiria mtu yupo tayari kutoa utelezi ili apate ela ya kununua nguo mpya/kwenda vacation lengo aonekane insta, cjui Facebook kwamba yuko matawi 🤮
 
Tunarudi pale pale, hukuwepo zamani hujui wanawake wa zamani, hujui walikua wanatoaje utelezi,na kwa ajili gani....Kisha hujui wao walikua na form gani of entertainment mbadala wa social media....

Vitu gani wanawake wa zamani walikua navyo ambavyo ulikua unavihitaji ambavyo havipatikani kwa wanawake wa sasa?
 
Jichanganye na wazee WA zamani , utaelewa nini nimesema .

Nimevitaja mwanzo WA hii conservation, scroll Up!
Uvumilivu, Uaminifu, n.k
 
Nini kiliwafanya wanawake WOTE wa zamani kuwa wavumilivu , wenye heshima, waaminifu etc na nini kiichowafanya wanawake WOTE wa sasa kuwa Sio waaminifu, wenye heshima, wavumilivu hujanijibu?,

Kama hivyo ndivyo vigezo vyako Una uhakika hawapo na Sio wewe hujawapata?!
 
Wanawake wazamani walikua wanaelewa kiundani Mila na Desturi.

Wanawake sasa wamekua addicted na mambo ya magharibi yaliyoletwa zaidi na social media..
 
Na wanawake wa sasa hawaelewi kiundani mila na desturi???zilipoteaje? hazifundishwi/shikiki???

Wanawake wa zamani hawakua na addiction yoyote kulingana na zama zao???

Wakataa ndoa wote ni watu wa kujichanganya na watu wazee wa zamani???
 
Unasema bila aibu kwamba hutoingia kwenye ndoa (hutaoa) ila utazalisha watoto uwalee mwenyewe!!

Hivi unajua maumivu wanayoyapta watoto hao wewe??

[emoji16]kama wewe ungelelewa katika mazingira kama hayo unayoyafikiria kuwalea wanao, usingethubutu kuwaza hayo!

Maamuzi yako ya kukataa ndoa ni kwa faida yako wewe(ubinafsi), hakuna mtoto atafurahia kulelewa na mzazi mmoja au wazazi kutengana kwa namna yoyote ile, tena ni ukatili!

Wewe umelelewa na baba na mama pale nyumbani ukiwa unajimwayamya utakavyo, hujuwi ulisemalo;
Watafute waliolelewa na mzazi mmoja wakueleze ni jinsi gani wameathirika kisaikolojia.

KATAA NDOA, USIZA£/ZALISH£
Hakika ,wakataa ndoa wengi ni makatili zaidi
 
Na wanawake wa sasa hawaelewi kiundani mila na desturi???zilipoteaje? hazifundishwi/shikiki???

Wanawake wa zamani hawakua na addiction yoyote kulingana na zama zao???

Wakataa ndoa wote ni watu wa kujichanganya na watu wazee wa zamani???
Wanawake wengi WA sasa hawaelewi Mila na Desturi, Pili elimu ya kutosha haitolewi.

Kuhusu wanawake wa zamani kuwa na addiction yoyote, Hilo Mimi silijui.

"Hapana. Wakataa Ndoa si wote wanaojichanganya na wazee ,
 
Nimeona mara kadhaa si hapa Tanzania tu bali hata nchi nyinginezo ni vijana wa kikristo ndio wapo mstari wa mbele kwenye haya mambo ya kataa ndoa, unakuta kijana ana kila sifa ya kuoa, pesa za mahari zipo lakini anafika hadi miaka 35 hataki ndoa rasmi.

Kwa upande mwengine kwa waislam na wale wanaooa kitamaduni sijaona wakilalamika, mwendo ni ule ule.
 
Nimeona mara kadhaa si hapa Tanzania tu bali hata nchi nyinginezo ni vijana wa kikristo ndio wapo mstari wa mbele kwenye haya mambo ya kataa ndoa, unakuta kijana anaweza kuoa kabisa na mahari haimpi shida ila hataki ndoa.

Kwa upande mwengine kwa waislam sijaona wakilalamika, mwendo ni ule ule.
Endeleeni na mawazo finyu kuoa ni ushamba uliopotiliza
 
Kwa wakristo ipo hivyo maana ishakuwa kawaida kusikia hata mwanamke anampa kichapo mme wake ama kumnyima unyumba miaka mitano na mwanaume hana la kufanya maana kawekwa mtu kati hawezi kuongeza mke na akija kuthubutu kuomba ndoa ivunjike mali zinagongwa pasu kwa pasu.
 
Nimeona mara kadhaa si hapa Tanzania tu bali hata nchi nyinginezo ni vijana wa kikristo ndio wapo mstari wa mbele kwenye haya mambo ya kataa ndoa, unakuta kijana ana kila sifa ya kuoa, pesa za mahari zipo lakini anafika hadi miaka 35 hataki ndoa rasmi.

Kwa upande mwengine kwa waislam sijaona wakilalamika, mwendo ni ule ule.
Wengi hawajui kutofautisha R na L hiyo ndo sababu
 
Back
Top Bottom