Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana Marehemu Mengi alikuwa anamlipa Mke wake walieachana dola elf 40 kila mwezi ili asitie mguu kwenye kugawana mali,Urahisi wa talaka Kwa waislam inasaidia ...ukikosea unapiga chini...
Hata kugawana nusu Mali haipo Kwa waislam mkiachana...
Nashauri vijana waoe kitraditions kama shida ni talaka na kugawana mali
Inasemekana Marehemu Mengi alikuwa anamlipa Mke wake walieachana dola elf 40 kila mwezi ili asitie mguu kwenye kugawana mali,
Kenya wanajali sana traditions zao,Serikali itafute mfumo mzuri WA kuwezesha watu kuoana na kuachana bila kugawana mali nusu Kwa nusu ..
Ikiwezekana watu wagawane kila mtu alicholeta kama Kenya
France ndoa zimekufa kabisaKenya wanajali sana traditions zao,
Tanzania kwa wakristo wanafata zaidi mifumo ya wazungu, na hii muda sio mrefu italeta upuuzi unaitwa allimony, malipo ya kumlipa mwanamke kila mwezi kwajili ya matunzo mkiachana kisa ndoa ya kikristo mliapa hadi kifo, nchi za ulaya inaumiza wengi sana hii.
Ndoa kwenye ukristo ni jehanamu inayotembeaNimeona mara kadhaa si hapa Tanzania tu bali hata nchi nyinginezo ni vijana wa kikristo ndio wapo mstari wa mbele kwenye haya mambo ya kataa ndoa, unakuta kijana ana kila sifa ya kuoa, pesa za mahari zipo lakini anafika hadi miaka 35 hataki ndoa rasmi.
Kwa upande mwengine kwa waislam na wale wanaooa kitamaduni sijaona wakilalamika, mwendo ni ule ule.
Na siye tufike huko,itasaidia sanaFrance ndoa zimekufa kabisa
Wana partnership tu...ndo huku itakua hivyo
ndoa zimekuwa ngumu sana ulaya na huku ndiko wakristo wa Tanzania wanakofata nyayo zao.France ndoa zimekufa kabisa
Wana partnership tu...ndo huku itakua hivyo
Hio ni formula maalum, unaanza kwanza kwa ndoa ya kimila na kupata cheti chake, ndoa zijazo hata iwe ya kikristo unaweza kuongezaWako Wakristo wenye mke zaidi ya mmoja....haswa wa baadhi ya makabila....
Jirani yangu ni kutoka MARA...na muumini mzuri tu wa RC ....ana ngoma mbili....hiyo nyingine ya KIMILA....[emoji1787]
Ndoa za kikristo ni jela.Nimeona mara kadhaa si hapa Tanzania tu bali hata nchi nyinginezo ni vijana wa kikristo ndio wapo mstari wa mbele kwenye haya mambo ya kataa ndoa, unakuta kijana ana kila sifa ya kuoa, pesa za mahari zipo lakini anafika hadi miaka 35 hataki ndoa rasmi.
Kwa upande mwengine kwa waislam na wale wanaooa kitamaduni sijaona wakilalamika, mwendo ni ule ule.
Wanaume wa Ulaya wamepigwa sana iyo kitu ila saivi nawao wameshtuka hawataki tena uo upuuzi wanaenda kuoa nje ya ulaya km Latin America, africa japan nk kuepuka uo ujinga wa kumpa mshahara ex wife wakoKenya wanajali sana traditions zao,
Tanzania kwa wakristo wanafata zaidi mifumo ya wazungu, na hii muda sio mrefu italeta upuuzi unaitwa allimony, malipo ya kumlipa mwanamke kila mwezi kwajili ya matunzo mkiachana kisa ndoa ya kikristo mliapa hadi kifo, tena kama una kazi kwenye mshahara inakatwa huko huko, nchi za ulaya huu ujinga umeumiza wanaume wengi sana.
Nimekupata mkuuDuuuuh [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]