Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Urahisi wa talaka Kwa waislam inasaidia ...ukikosea unapiga chini...
Hata kugawana nusu Mali haipo Kwa waislam mkiachana...

Nashauri vijana waoe kitraditions kama shida ni talaka na kugawana mali
Inasemekana Marehemu Mengi alikuwa anamlipa Mke wake walieachana dola elf 40 kila mwezi ili asitie mguu kwenye kugawana mali,
 
Serikali itafute mfumo mzuri WA kuwezesha watu kuoana na kuachana bila kugawana mali nusu Kwa nusu ..
Ikiwezekana watu wagawane kila mtu alicholeta kama Kenya
Kenya wanajali sana traditions zao,

Tanzania kwa wakristo wanafata zaidi mifumo ya wazungu, na hii muda sio mrefu italeta upuuzi unaitwa allimony, malipo ya kumlipa mwanamke kila mwezi kwajili ya matunzo mkiachana kisa ndoa ya kikristo mliapa hadi kifo, tena kama una kazi kwenye mshahara inakatwa huko huko, nchi za ulaya huu ujinga umeumiza wanaume wengi sana.
 
Kenya wanajali sana traditions zao,

Tanzania kwa wakristo wanafata zaidi mifumo ya wazungu, na hii muda sio mrefu italeta upuuzi unaitwa allimony, malipo ya kumlipa mwanamke kila mwezi kwajili ya matunzo mkiachana kisa ndoa ya kikristo mliapa hadi kifo, nchi za ulaya inaumiza wengi sana hii.
France ndoa zimekufa kabisa
Wana partnership tu...ndo huku itakua hivyo
 
Nimeona mara kadhaa si hapa Tanzania tu bali hata nchi nyinginezo ni vijana wa kikristo ndio wapo mstari wa mbele kwenye haya mambo ya kataa ndoa, unakuta kijana ana kila sifa ya kuoa, pesa za mahari zipo lakini anafika hadi miaka 35 hataki ndoa rasmi.

Kwa upande mwengine kwa waislam na wale wanaooa kitamaduni sijaona wakilalamika, mwendo ni ule ule.
Ndoa kwenye ukristo ni jehanamu inayotembea
 
France ndoa zimekufa kabisa
Wana partnership tu...ndo huku itakua hivyo
ndoa zimekuwa ngumu sana ulaya na huku ndiko wakristo wa Tanzania wanakofata nyayo zao.

Maadili kwa wakristo nayo yamevurugika sana, mtoto wa kike kuvaa taiti ama pedo mbele ya baba yake ishakuwa kawaida wakati hapo mwaka 2000 tu walikuwa wakemea, kina mama hawana muda kuwafunza mabinti maadili ya kujua namna ya kuishi na waume zao wakiolewa maana wanajua tayari kwamba kwenye ndoa za kikristo mwanamke tayari anaweza kumburuza mwanaume
 
Mwanaume rijali mwenye akili timamu, hawezi kuwa mpumbav kufunga ndoa... Ukiona mwanaume anaoa ujue amewehuka hajui kesho yake amekwama kifikra anategemea ndoa imtoe kimaisha wakat ndoa ni shimo la umauti magonjwa na upuuzi...
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI
 
Wako Wakristo wenye mke zaidi ya mmoja....haswa wa baadhi ya makabila....

Jirani yangu ni kutoka MARA...na muumini mzuri tu wa RC ....ana ngoma mbili....hiyo nyingine ya KIMILA....[emoji1787]
Hio ni formula maalum, unaanza kwanza kwa ndoa ya kimila na kupata cheti chake, ndoa zijazo hata iwe ya kikristo unaweza kuongeza
 
Nimeona mara kadhaa si hapa Tanzania tu bali hata nchi nyinginezo ni vijana wa kikristo ndio wapo mstari wa mbele kwenye haya mambo ya kataa ndoa, unakuta kijana ana kila sifa ya kuoa, pesa za mahari zipo lakini anafika hadi miaka 35 hataki ndoa rasmi.

Kwa upande mwengine kwa waislam na wale wanaooa kitamaduni sijaona wakilalamika, mwendo ni ule ule.
Ndoa za kikristo ni jela.
Hadi kifo kiwatenganishe.
 
Mu
Micael Jordan alipoachana na mkewe alipigwa parefu. Alipooa mke wa pili waliingia mkataba kuwa akimuacha atampa kama Dola milioni 40 tu si pasu. Ronaldo haooi kwa sababu hio hio.
Marekani ndoa za mkataba kama fashion kisa kuogopa kupigwa pesa na wanawake wajanja.
Kuna jamaa mmoja bushmen alinizindua akili kuwa usimuoneshe mkeo mali zote. Zingine nunua kisirisiri zifiche asijuie hata kidogo, kama utakufa zikapotea basi.
 
Wanawake wa ki Islam wananukia vizuri uvunguni.
Ref.mie ni Mwanafunzi wa Yesu.
 
Maisha nje ya ndoa yana unafuu mkubwa ukilinganisha na unapokuwa ndani ya ndoa. Ukipiga mahesabu ya kuhudumia mke kwa mwezi mambo ya mavazi, vipodozi, misosi na sehemu yenu ya kuishi ni parefu sio mchezo.

Mkitoka vacation ndo inakuwa balaa zaidi kila gharama inadouble. Mkiwa na watoto ndo kimbembe zaidi. Hapo bado hamjahudumia wazazi ndugu na jamaa wengine wa pande zote mbili. Hapo bado haujakutana na gubu na uchoyo wa huyo mke. Ndoa ni gharama sana.

Dunia ilipofika watu tuishi kwa mikataba tu sio lazima kuwa pamoja milele yote. Mnakaa pamoja hadi mnaposhindwana au miaka 2-3 hlf kila mmoja anatafuta ustaarabu wake maisha mengine yanaendelea.

saivi utasikia watu wamepigana visu au kuchomana mikaa ni sababu ya kero za kukaa pamoja muda mrefu hlf unakuta watu wenyewe hawaelewani wanakaa pamoja kwa utashi wa dini au mapokeo ya wazee wao.
 
Kenya wanajali sana traditions zao,

Tanzania kwa wakristo wanafata zaidi mifumo ya wazungu, na hii muda sio mrefu italeta upuuzi unaitwa allimony, malipo ya kumlipa mwanamke kila mwezi kwajili ya matunzo mkiachana kisa ndoa ya kikristo mliapa hadi kifo, tena kama una kazi kwenye mshahara inakatwa huko huko, nchi za ulaya huu ujinga umeumiza wanaume wengi sana.
Wanaume wa Ulaya wamepigwa sana iyo kitu ila saivi nawao wameshtuka hawataki tena uo upuuzi wanaenda kuoa nje ya ulaya km Latin America, africa japan nk kuepuka uo ujinga wa kumpa mshahara ex wife wako
 
Back
Top Bottom