Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Karibuni kwenye kifungo huru......Naona hata avatar yako inasadifu unayosema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni kwenye kifungo huru......Naona hata avatar yako inasadifu unayosema.
Exactly 💯 .Tunza kibunda chako
Hahaha msajili kijana huyo mpe na kitambulisho cha uwanachama.Vijana wanaamka, wamechoka utapeli
safi sana
Ukiona Jambo linaviashiria vya ushetani ndani yake. Kimbia, huo ni ulimwengu wa Giza. Ambatana na Yesu katika ulimwengu wa Nuru, na Mwenyezi Mungu atakubariki sanaHabari ya usiku wana jukwaa, mie nimekuwa mmoja wa members wanaochukizwa kama si kukereka mno na ile kampeni inayoendelea hapa jukwaani ya kijana kataa ndoa.
Nimekuwa nikiona kama imekaa kishetani tu na kibinafsi sana kwa vijana wenzangu.
Wapo wanasema ndoa ni utapeli na mzigo kwa vijana hasa wakiume.
Naona somo taratibu limeanza kuniingia, yani nawaza nakuwazua mpaka napatwa presha kwa umri wangu huu wa mika 31 kisa mke? Hapana, napaswa kujiuliza mara mbilimbili.
AusiyoKaribuni kwenye kifungo huru......
😂 😂 😂 kongole kwake kwa kusanuka mapema, wacha wajinga wengine wapigweHahaha msajili kijana huyo mpe na kitambulisho cha uwanachama.
Kataa ndoa- 5 ...Vs ...Kubali ndoa -0Dah! mpaka kichwa kinauma, yaani yeye tena hana habari, ndo kwanza anauchapa usingiz wa pono. ndoa? ndoa? ndoa? hapana, natakiwa kufanya maamuzi magumu.
Awepo kwenye attendance kabisaa huyoo😂🤏😎😂 😂 😂 kongole kwake kwa kusanuka mapema, wacha wajinga wengine wapigwe
😃NDOA NI NDOANO KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI
Kama mwenzako kaweza kuuchapa usingizi basi hiyo ndoa yenu haina shida. Ni ww utulize komwe, maisha yaendeleeDah! mpaka kichwa kinauma, yaani yeye tena hana habari, ndo kwanza anauchapa usingiz wa pono. ndoa? ndoa? ndoa? hapana, natakiwa kufanya maamuzi magumu.
Ole wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo ndoa ni kama vita baridi siyo navuta tena subira acha nisome mchezo vizuri kwanza.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
jamaa amegusa penyewe.sidhani kama kweli hayo maandishi yamekuumiza machoUnatuumiza macho bwanaa
Yako bolded na ameyakuza sanajamaa amegusa penyewe.sidhani kama kweli hayo maandishi yamekuumiza macho
ooh pole kama ni hivyoYako bolded na ameyakuza sana
Nimeumia macho 😒
Kataa ndoa wanatreand kinoma... Hawa jamaa dunia wameibeba wanaondoka nayoKataa ndoa- 5 ...Vs ...Kubali ndoa -0
Game bado inaendelea.