Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Habari ya usiku wana jukwaa, mie nimekuwa mmoja wa members wanaochukizwa kama si kukereka mno na ile kampeni inayoendelea hapa jukwaani ya kijana kataa ndoa.

Nimekuwa nikiona kama imekaa kishetani tu na kibinafsi sana kwa vijana wenzangu.

Wapo wanasema ndoa ni utapeli na mzigo kwa vijana hasa wakiume.

Naona somo taratibu limeanza kuniingia, yani nawaza nakuwazua mpaka napatwa presha kwa umri wangu huu wa mika 31 kisa mke? Hapana, napaswa kujiuliza mara mbilimbili.
Ukiona Jambo linaviashiria vya ushetani ndani yake. Kimbia, huo ni ulimwengu wa Giza. Ambatana na Yesu katika ulimwengu wa Nuru, na Mwenyezi Mungu atakubariki sana
 
Back
Top Bottom