Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Huo ujinga wa "watawapeleka wapi wanawake" ndo utumwa wenyewe. Yaani jitu limetoka kwao huko eti linategemea mimi ndo nilipeleke wapi na kulihudumia kama mgonjwa!!!!Yani hao wanaosema hivo wote bado wapo kwao watawapeleka wapi hao wanawake baada ya kuwaoa ndo mana wakasema wakatae ndoa.
Ndoa ni kwaajili ya wanawake na wanaume wajinga.
#KATAANDOA
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app