NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Huna hoja naona malalamiko tu yenye chuki aiseeAlioa zama hizo ndoa ikiwa katika misingi yake, nyie mmeamua kuvuruga misingi ya ndoa kwa kumpa haki zote mwanamke (kisheria) sasa nioe kutafuta nini!!!??
NDOA NI KWAAJILI YA WAJINGA WACHACHE KAMA WEWE
NDOA NI UTAPELI
#KATAANDOA
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app