Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Nani kakudanganya kuwa mwanaume kamili ni lazima uoe!!!??? Mimi sina ndoa ila nna watoto watatu nawahudumia na nafurahia maisha yangu, niko huru.
NDOA NI KWAAJILI YA WAJINGA
NDOA NI KWA MANUFAA YA MWANAMKE
NDOA NI UTAPELI
#KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Wewe ulishawahi kuoa???
 
Nani kakudanganya kuwa mwanaume kamili ni lazima uoe!!!??? Mimi sina ndoa ila nna watoto watatu nawahudumia na nafurahia maisha yangu, niko huru.
NDOA NI KWAAJILI YA WAJINGA
NDOA NI KWA MANUFAA YA MWANAMKE
NDOA NI UTAPELI
#KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Bado hujawa mwanaume kamili wewe ni mvulana unaeweza kuwapa wanawake mimba, mwanaume hana tabia hizo
 
Mjomba, mim ni muumini mkubwa sana wa ndoa, lakini inakua kama mnawalazimisha watu na kuwapangia maisha. Yani yale unayoyaota, kuyatamani na kuwish yatokee kweny maisha yako na uyaishi hapo mbeleni, bs unataka kila mwanaume ayaishi na apitie. Kwa mnapangia watu namna ya kuishi?
 
KAULI mbiu ya kupnga wanao pinga ndoa
Wao kauli mbiu yao si
#kataa NDOA sisi ni ipi
 
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
NDOA NI UNDONDOCHA
NDOA NI KIFUNGO
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UBINAFSI

NB: Mwanaume wakweli hawez kubali chakata mbususu moja kila sku ni ujinga mtupu, yani mbususu moja inihangaishe wakati zpo kbao na rahs kuzila
NAKAZIA

NAKAZIA

NAKAZIA

NAKAZIA
 
Back
Top Bottom