Wewe ndio mwanaume sasa, wengi wanaopinga ndoa ni mashoga.Kusema kweli mim natamani ndoa ni vile tu pesa Sina mim pekee yangu Milo mitatu inanishinda ,ni mlo mmoja mchana usiku mo energy na andazi mbili za bakhressa....
Kodi tunalipa Kwa manati ,Sasa unafikili kuoa mwanamke ambaye atakuja kulala njaa ,,unagundua hayupo ....
Hata unayemtongoza akigundua unamaisha ya kuunga unga basi anakukimbia haraka Sana kama ukomaa .....unaishia kula Malaya wa buku tatu ....
Siku nikizipata lazima niweke ndani toto Moja kalii ni full kulitafuna usiku mchana na jion kama dozi ya dawa ...
ni malezi yanachangia sisi kama wazazi tukiwa imara bas tutatoa kizaz bora lakini tukifeli kwenye malezi ndio yatakua hayoHili ndo jibu ambalo hawataki kulikubali ingawa hata Madame S anafahamu Kuwa SYSTEM IMECORRUPT saiv
yan mkuu unanikosha na komets zako mana uko sahihiNdoa ni raha ukioa au kuolewa na mtu sahihi ambaye ana accomodate madhaifu yako nawewe una accomodate yakwake.
Nahisi ww pia ni punga unaejificha kwenye kivuli cha kuoa,Nawe unapumuliwa na wanaume wenzio?
Afya ya akili ndio nini mzee 🤣! Mbona lugha ilioandikwa hapo imenyooka sana una hakika ujatumia Konyagi leo?Ndoa yako inatatizo la afya ya akili,hata uwasilishaji wako hapa inaonesha hukujipanga kuoa/kuolewa...
Mke/mume ulimpata kama ajali
Mwanamke awe mzigo au asiwe mzigo bado hawezi kukupa zaidi ya Pussy, atakunyima freedom na mwisho wa picha she'll tame you into a bitch, so ukitaka enda far kuwa bachela mkongwe. I believe in family life lkn jua linapozama.Kwa kijana mwenye kuhitaji kufanya mambo makubwa ndoa sio kipaumbele kwa maisha ya sasahivi.. Unless uwe na mwanamke ambae sio mzigo
umeona eh,mtu anaoa kisa mke ana sura nzuri hivo anaonafahar kumtambulisha kwa washkaji lakini akiingia ndani panawaka moto watu waangalie wanaoa au kuolewa na nani itapunguza hizi kadhiaYeah nasisitiza sana Marrying your type, angalia mtu anayeweza ku accomodate madhaifu yako. Huyo ndio oa au olewa nae.
Watu wako so intimidated na looks na materials bila kujali kwamba tabia za mtu ndizo unaenda kuishi nazo.
Hivi vitu usipovielewa mahusiano yatakuwa magumu sana ndio maana nasisitiza watu wasiogope ndoa. Kuna kanuni ukizijua utapata ndoa njema na ukikiuka utapata ndoa mbovu.yan mkuu unanikosha na komets zako mana uko sahihi
Kumbe ni mbinu? Wanaanza na kataa ndoa maana akishakuwa mume wa mtu wanakosa control. HahahaPia kuna kundi la vijana ambao sio riziki pia wanaojihusisha na maswala ya kugawa speaker aina ya "tweeter" naona hii kampeni wanaishabikia sana maana wanaona wingi wa wanawake ni threat kwa soko lao la mitarimbo.
Mkuuhonestly ni nyingi na nimeona kwa mfano lakini chanzo kikuu ni hao waandoa wenyewe
kwa kweli sitapenda kuona mwanangu anateseka na sitapenda kuwaozesha kwa mtu ambae atawaumiza ninataman Mungu anipe umri nije kuwapa elim sahihi juu ya mahusiano hope nitawajenga vizur
lakini bado nitatamani kuwaona wakiwa na waume zao sahihi
hahaha mzee, acha kuangalia tamthilia za kifilipino mara mojaNdoa ni raha ukioa au kuolewa na mtu sahihi ambaye ana accomodate madhaifu yako nawewe una accomodate yakwake.
Yanini makasiriko,Wapinga ndoa ni MAPUNGA 98%
kama ikifikia hatua ya kuwekeana mikataba kiasi hicho basi ntaungana na kizazi cha sasa KATAA NDOA NI USANIIMain concern ya kataa ndoa campaign ni kwamba mkishindwana na mke mtagawana mali hilo ndio hawa raia wanakasirika kwamba mali zao watagawana na mke. Ndio maana nimetoa suggestion kuna namna ya kulinda mali. Zisajiliwe kama mali za kampuni ili zisiwe part ya prenuptial settlements.
Ndani ya miezi 6 tu utajua kama ulipata au ulipatikana🤣 wapo wanaobahatisha wanawake wanatulia ila wengi ni maumivu tu. Ile lust ikiisha sasa unamuona mtu ukiwa na akili timamu kwamba hapa nilipotea ndio migogoro inaanza. Sex inapoteza sana wengi utamu wa ngono ni wa kitambo kifupi sana.umeona eh,mtu anaoa kisa mke ana sura nzuri hivo anaonafahar kumtambulisha kwa washkaji lakini akiingia ndani panawaka moto watu waangalie wanaoa au kuolewa na nani itapunguza hizi kadhia
Let me say it again.Non sense is a "NO"
I tolerate no Bullshit, huwa nina principles tu nazitumia kuendesha maisha yangu ni kama katiba especially when it comes to relationships. Mtu anayetaka ku settle anachekechwa kama hatoshi ni baba Jeniiii...
as long as wenyewe wameridhiana sitaingia uhuru wake kabisa, kumuelekeza mtoto atafte mwenye mali nako sio nzuri aolewe hata na anaeuza uono ili mradi wamependana na dini zao ni moja mimi naozesha kwa kweli mam yake sikuingiliwa maamuzi yangu mimi ni nani nije kumuingilia yake?? hata awe ustadhi wa chuoni maadam ameridhia kwa hiari yake na wameridhiana ataolewa maskini naye ana roho kumwambia atate tajiri ni kumuandaa mtoto ambae akipata shida kidogo ndoani ataikimbia ndoa ndio mana napenda kuwazoesha watoto wangu hali zote wajue kuna watu wengine huishi maisha kama hayoMkuu
sikukatishi tamaa
unajua kuwa wanawake wanaolewa na wanaume wasio wapenda?
utaruhusu binti yako aolewe na kijana masikini?
Sindio akili za vijana wapumbavu, we unaoa ili mje kuachana ama? Huoni kama ni uzwazwa flani. Yani unawaza mkiachana itakuwaje kabla ya kuoa.kama ikifikia hatua ya kuwekeana mikataba kiasi hicho basi ntaungana na kizazi cha sasa KATAA NDOA NI USANII
watu siku hizi hawajui maana ya ndoa.
kama ndoa ikifikia hatua ya kuwekeana hio mikataba binafsi mimi sioni kama kuna ndoa hapo zaidi ya kuviziana
Mashoga ndio hamtaki ndoa, mnduku wako umeharibika unadhani utaweza ndoa wewe?Nahisi ww pia ni punga unaejificha kwenye kivuli cha kuoa,
Acha huo uchoko
mimi ninaye ndugu wa karibu alioa mke kwa kigezo cha uzuri, na kwa uzuri Allah alimbariki mdada ni mzuri tena sana mashallah lakini ndio hivo mkikaa mkiona mwezi huu kimya hamna kesi mjue mume kasafii siku akiingia tu watu wanagombana hakulaliki lakini hivi sasa ameshamuachaNdani ya miezi 6 tu utajua kama ulipata au ulipatikana🤣 wapo wanaobahatisha wanawake wanatulia ila wengi ni maumivu tu. Ile lust ikiisha sasa unamuona mtu ukiwa na akili timamu kwamba hapa nilipotea ndio migogoro inaanza. Sex inapoteza sana wengi utamu wa ngono ni wa kitambo kifupi sana.
Baada ya hapo ypu get back to senses na hapo ndipo wanawake wanabadilikaga. Anajikuta yuko na mtu ambaye hampi furaha tena.
kabisa,Hivi vitu usipovielewa mahusiano yatakuwa magumu sana ndio maana nasisitiza watu wasiogope ndoa. Kuna kanuni ukizijua utapata ndoa njema na ukikiuka utapata ndoa mbovu.