Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kusema kweli mim natamani ndoa ni vile tu pesa Sina mim pekee yangu Milo mitatu inanishinda ,ni mlo mmoja mchana usiku mo energy na andazi mbili za bakhressa....

Kodi tunalipa Kwa manati ,Sasa unafikili kuoa mwanamke ambaye atakuja kulala njaa ,,unagundua hayupo ....

Hata unayemtongoza akigundua unamaisha ya kuunga unga basi anakukimbia haraka Sana kama ukomaa .....unaishia kula Malaya wa buku tatu ....

Siku nikizipata lazima niweke ndani toto Moja kalii ni full kulitafuna usiku mchana na jion kama dozi ya dawa ...
Wewe ndio mwanaume sasa, wengi wanaopinga ndoa ni mashoga.
 
Kwa kijana mwenye kuhitaji kufanya mambo makubwa ndoa sio kipaumbele kwa maisha ya sasahivi.. Unless uwe na mwanamke ambae sio mzigo
Mwanamke awe mzigo au asiwe mzigo bado hawezi kukupa zaidi ya Pussy, atakunyima freedom na mwisho wa picha she'll tame you into a bitch, so ukitaka enda far kuwa bachela mkongwe. I believe in family life lkn jua linapozama.
 
Yeah nasisitiza sana Marrying your type, angalia mtu anayeweza ku accomodate madhaifu yako. Huyo ndio oa au olewa nae.

Watu wako so intimidated na looks na materials bila kujali kwamba tabia za mtu ndizo unaenda kuishi nazo.
umeona eh,mtu anaoa kisa mke ana sura nzuri hivo anaonafahar kumtambulisha kwa washkaji lakini akiingia ndani panawaka moto watu waangalie wanaoa au kuolewa na nani itapunguza hizi kadhia
 
Pia kuna kundi la vijana ambao sio riziki pia wanaojihusisha na maswala ya kugawa speaker aina ya "tweeter" naona hii kampeni wanaishabikia sana maana wanaona wingi wa wanawake ni threat kwa soko lao la mitarimbo.
Kumbe ni mbinu? Wanaanza na kataa ndoa maana akishakuwa mume wa mtu wanakosa control. Hahaha
 
honestly ni nyingi na nimeona kwa mfano lakini chanzo kikuu ni hao waandoa wenyewe

kwa kweli sitapenda kuona mwanangu anateseka na sitapenda kuwaozesha kwa mtu ambae atawaumiza ninataman Mungu anipe umri nije kuwapa elim sahihi juu ya mahusiano hope nitawajenga vizur

lakini bado nitatamani kuwaona wakiwa na waume zao sahihi
Mkuu
sikukatishi tamaa
unajua kuwa wanawake wanaolewa na wanaume wasio wapenda?

utaruhusu binti yako aolewe na kijana masikini?
 
Main concern ya kataa ndoa campaign ni kwamba mkishindwana na mke mtagawana mali hilo ndio hawa raia wanakasirika kwamba mali zao watagawana na mke. Ndio maana nimetoa suggestion kuna namna ya kulinda mali. Zisajiliwe kama mali za kampuni ili zisiwe part ya prenuptial settlements.
kama ikifikia hatua ya kuwekeana mikataba kiasi hicho basi ntaungana na kizazi cha sasa KATAA NDOA NI USANII
 watu siku hizi hawajui maana ya ndoa.
kama ndoa ikifikia hatua ya kuwekeana hio mikataba binafsi mimi sioni kama kuna ndoa hapo zaidi ya kuviziana
 
umeona eh,mtu anaoa kisa mke ana sura nzuri hivo anaonafahar kumtambulisha kwa washkaji lakini akiingia ndani panawaka moto watu waangalie wanaoa au kuolewa na nani itapunguza hizi kadhia
Ndani ya miezi 6 tu utajua kama ulipata au ulipatikana🤣 wapo wanaobahatisha wanawake wanatulia ila wengi ni maumivu tu. Ile lust ikiisha sasa unamuona mtu ukiwa na akili timamu kwamba hapa nilipotea ndio migogoro inaanza. Sex inapoteza sana wengi utamu wa ngono ni wa kitambo kifupi sana.

Baada ya hapo ypu get back to senses na hapo ndipo wanawake wanabadilikaga. Anajikuta yuko na mtu ambaye hampi furaha tena.
 
Non sense is a "NO"

I tolerate no Bullshit, huwa nina principles tu nazitumia kuendesha maisha yangu ni kama katiba especially when it comes to relationships. Mtu anayetaka ku settle anachekechwa kama hatoshi ni baba Jeniiii...
Let me say it again.
YOU ARE THE MAN.

Sasa kwetu sisi ndoa is a big joke.

mara nyingi huwa tunawaview nyie married fellas as dancing clowns(my bad).
 
Mkuu
sikukatishi tamaa
unajua kuwa wanawake wanaolewa na wanaume wasio wapenda?

utaruhusu binti yako aolewe na kijana masikini?
as long as wenyewe wameridhiana sitaingia uhuru wake kabisa, kumuelekeza mtoto atafte mwenye mali nako sio nzuri aolewe hata na anaeuza uono ili mradi wamependana na dini zao ni moja mimi naozesha kwa kweli mam yake sikuingiliwa maamuzi yangu mimi ni nani nije kumuingilia yake?? hata awe ustadhi wa chuoni maadam ameridhia kwa hiari yake na wameridhiana ataolewa maskini naye ana roho kumwambia atate tajiri ni kumuandaa mtoto ambae akipata shida kidogo ndoani ataikimbia ndoa ndio mana napenda kuwazoesha watoto wangu hali zote wajue kuna watu wengine huishi maisha kama hayo
 
kama ikifikia hatua ya kuwekeana mikataba kiasi hicho basi ntaungana na kizazi cha sasa KATAA NDOA NI USANII
 watu siku hizi hawajui maana ya ndoa.
kama ndoa ikifikia hatua ya kuwekeana hio mikataba binafsi mimi sioni kama kuna ndoa hapo zaidi ya kuviziana
Sindio akili za vijana wapumbavu, we unaoa ili mje kuachana ama? Huoni kama ni uzwazwa flani. Yani unawaza mkiachana itakuwaje kabla ya kuoa.
 
Ndani ya miezi 6 tu utajua kama ulipata au ulipatikana🤣 wapo wanaobahatisha wanawake wanatulia ila wengi ni maumivu tu. Ile lust ikiisha sasa unamuona mtu ukiwa na akili timamu kwamba hapa nilipotea ndio migogoro inaanza. Sex inapoteza sana wengi utamu wa ngono ni wa kitambo kifupi sana.

Baada ya hapo ypu get back to senses na hapo ndipo wanawake wanabadilikaga. Anajikuta yuko na mtu ambaye hampi furaha tena.
mimi ninaye ndugu wa karibu alioa mke kwa kigezo cha uzuri, na kwa uzuri Allah alimbariki mdada ni mzuri tena sana mashallah lakini ndio hivo mkikaa mkiona mwezi huu kimya hamna kesi mjue mume kasafii siku akiingia tu watu wanagombana hakulaliki lakini hivi sasa ameshamuacha
 
Back
Top Bottom