Kusema kweli mim natamani ndoa ni vile tu pesa Sina mim pekee yangu Milo mitatu inanishinda ,ni mlo mmoja mchana usiku mo energy na andazi mbili za bakhressa....
Kodi tunalipa Kwa manati ,Sasa unafikili kuoa mwanamke ambaye atakuja kulala njaa ,,unagundua hayupo ....
Hata unayemtongoza akigundua unamaisha ya kuunga unga basi anakukimbia haraka Sana kama ukomaa .....unaishia kula Malaya wa buku tatu ....
Siku nikizipata lazima niweke ndani toto Moja kalii ni full kulitafuna usiku mchana na jion kama dozi ya dawa ...