Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mwanaume huna akili za ktosha acha kuoa, ndoa ni institution kubwaMnaendelea Kufanya uharibifu na kuwapa ujauzito watoto wa watu.
Humu mtu akileta Uzi analalamika kuhusu mapenzi na ndoa utaona comments,
"Kijana kataa ndoa"
"Kimbia ndoa"
"Hakuna kuoa"
"Kindly evacuate, do you copy"
"Mbususu zimejaa"
Mbona hamsemi kataa uzinzi[emoji2955]
Mmekulia familia za single parents? Mbona wengine hapa mmelelewa na baba na mama
Cha kushangaa Kila siku vijana ndo wanaoongoza kwa kuoa Tena wale wa under 30[emoji23] Mimi naona hizi anonymous ID zinatufanya tudanganyane kumbe Kuna wengine wapo kwenye harakati za kuoa.
Kwa niaba ya wanawake wa JF tunakataa kubeba ujauzito kabla ya ndoa.
View attachment 2452960
NB:: Sijapewa ujauzito [emoji779]
Hongera cuteSijapewa ujauzito
kwanini tuoe?Mnaendelea Kufanya uharibifu na kuwapa ujauzito watoto wa watu.
Humu mtu akileta Uzi analalamika kuhusu mapenzi na ndoa utaona comments,
"Kijana kataa ndoa"
"Kimbia ndoa"
"Hakuna kuoa"
"Kindly evacuate, do you copy"
"Mbususu zimejaa"
Mbona hamsemi kataa uzinzi🤨
Mmekulia familia za single parents? Mbona wengine hapa mmelelewa na baba na mama
Cha kushangaa Kila siku vijana ndo wanaoongoza kwa kuoa Tena wale wa under 30😂 Mimi naona hizi anonymous ID zinatufanya tudanganyane kumbe Kuna wengine wapo kwenye harakati za kuoa.
Kwa niaba ya wanawake wa JF tunakataa kubeba ujauzito kabla ya ndoa.
View attachment 2452960
NB:: Sijapewa ujauzito ❗
Nakubali hili na waache ngono zembeKama mwanaume huna akili za ktosha acha kuoa, ndoa ni institution kubwa
Nawasubiri😂Subir wanakuja wanakujaaaaa
Na kama pesa haipo ya kutosha...KINDLY EVACUATE..DO YOU COPY???Kama mwanaume huna akili za ktosha acha kuoa, ndoa ni institution kubwa
Kwa anaefikiria kuoa hakosi sababu zinazompelekea kufanya hivi, ukiona jioni sababu ujue wakati wako badokwanini tuoe?
MmeanzaNa kama pesa haipo ya kutosha...KINDLY EVACUATE..DO YOU COPY???
Wala Amadala haumii ninamengi ya kuniumiza, you can take it or evacuateKwani unaumia wapi wasipooa
Kila mtu achukue 50 zake, kuoa sio lazima anaetaka ataoa.
Kuna maisha nje ya ndoa😂😂Wala Amadala haumiio ninamengo ya kuniumiza, you can take it or evacuate
Atulie na ndoa si aliapa kanisani atakua na mkewe kwenye shida na raha, nje anafata nini sasa.Wengi hujaribu kama mwanamke anauwezo wa kuzaa. Japo ni mambo ya vijana wa sasa. Mababu zao na baba zao hawakuwa na hii tabia.
Kwa upande mwingine inasaidia, kuna mtu wa karibu, kaoa kabinti ndiyo kamemaliza form Six. Anakuja kujua hana uwezo wa kubeba mimba. Kijana anahaha sasa aweze kuzaa nje aitwe baba. Kupanga ni kuchagua...
Mjomba kikubwa ni kutulia kumpata mtu sahihiKuna maisha nje ya ndoa😂😂
Bantu Lady usinambie wanaooa bila kuzaa na mwanamke ni risk takers😂🙌Wengi hujaribu kama mwanamke anauwezo wa kuzaa. Japo ni mambo ya vijana wa sasa. Mababu zao na baba zao hawakuwa na hii tabia.
Kwa upande mwingine inasaidia, kuna mtu wa karibu, kaoa kabinti ndiyo kamemaliza form Six. Anakuja kujua hana uwezo wa kubeba mimba. Kijana anahaha sasa aweze kuzaa nje aitwe baba. Kupanga ni kuchagua...