Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Ni kweli aisee kama mtu umekulia kwenye mikono ya wazazi wote wawili Tena ndo Kama una wadogo zako,Kaka au dada zako Ile furaha ambavyo inatawala nyumbani Yale mapenzi kutoka kwenye familia yenu huwezi ukaacha kuoa Yani kunakuaga na hisia tofauti aisee kama mtu umepata mapenzi yote kutoka kwenye familia lazima utamani kuwa na familia yako
Mkuu unachokitarajia kitakuumiza mno. ,ndoa ni nzuri zamn kipnd hichi cha 50 50 ndoa kwa mwanaume haina maana
 
Ndoa ni utapeli hasa kwa mwanaume , haki sawa imevunja rasmi swala la ndoa , jichanganye ufe na stress
 
Wanaosababisha tukatae ndoa ni wanawake adui wa mwanamke ni mwanamke , sku tukinyimwa papuchi tutaoa tena kila mtu atapata Mume, ila kwa sasa ata tupime tu ngoma tuchakate
 
Nimeona kuna nyuzi nyingi sana hapa JF zikihamasisha vijana kupinga masuala ya ndoa. Mtu kakurupuka huko kaona familia moja ina matatizo yao basi moja kwa moja analeta uzi kuwa ndoa haifai. Ndoa zimekuwepo toka enzi na enzi na changamoto kwenye familia hazikosi lakini leo mtu anakwambia kirahisi tu eti kataa ndoa.

Ndoa ni muhimu sana kwa mwanamume na mwanamke, ile hali ya kukaa pamoja kama familia inakufanya ujihisi tofauti na kipindi kile ukiwa peke yako. Matatizo kwenye ndoa hayakosekani ila hiyo sio sababu ya kufanya kuepuka ndoa.

Hawa watu wanaopinga ndoa naona ni wakwepa majuku, vijana mnaogopa majuku ya kifamilia? Inasikitisha sana. Ewe kijana ingia kwenye ndoa ukiwa tayari umekoamaa kiakili haswa acha kupumbazwa na maneno ya watu.

Changamoto ama majukumu huwezi kuyakimbia kamwe, za kuambiwa changanya na zako.
Kuna kesi nyingi mahakamani wanandoa wanawake wengi wanaingia kwenye ndoa kimtego anajua akishavunja ndoa tayari mali anajipatia kiurahisi
 
Kwa Hali ilivyo, Si Kila mtu anaweza kuoa/kuolewa. Ndoa inahitaji uvumilivu Dana, wengi wetu hatuna huo uvumilivu.
 
Back
Top Bottom