Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kwa ww unaona utapata kitu kwenye ndoa funga ila kwakweli hakuna Cha maana kwenye ndoa zaidi ya migogoro ilisiyoisha nakusumbua watu.
 
Sasa kama mtu hamjui Baba yake, unategemea ataipenda ndoa?
 
unajaribu kuwarekebisha ni wale j3 mpaka j3 wanashinda na nyimbo za mboso.
 
Ila umeongea ukweli mm napenda kuoa
Angalizo usipokee ushauri kuhusu ndoa kutoka kwa wanawake.
hata kama ni mama mzazi , dada au shangazi.

just talk to your father and other men
Pia ni utapeli yani nimetengeneza ka system kngu kapesa nije niweke tapeli karbu?'

Pia ni utapeli yani nimetengeneza ka system kngu kapesa nije niweke tapeli karbu?
''Why do I need to invite (1)church (2)government (3)family court (4)divorce lawyers in my love life.''
 
Why do you need certificate to get married?.

why do you need permission to build a relationship / family with somebody.

Marriage is a business
Your child is ain't your child, It's a property of the gvt, thus why you sign birth certificate

NB; CERTIFICATE TO A GVT CORPORATION.
 
Mnaendelea Kufanya uharibifu na kuwapa ujauzito watoto wa watu.

Humu mtu akileta Uzi analalamika kuhusu mapenzi na ndoa utaona comments,

"Kijana kataa ndoa."

"Kimbia ndoa."

"Hakuna kuoa."

"Kindly evacuate, do you copy."

"Mbususu zimejaa."

Mbona hamsemi kataa uzinzi.[emoji2955]

Mmekulia familia za single parents? Mbona wengine hapa mmelelewa na baba na mama?

Cha kushangaa Kila siku vijana ndo wanaoongoza kwa kuoa Tena wale wa under 30[emoji23]. Mimi naona hizi anonymous ID zinatufanya tudanganyane kumbe Kuna wengine wapo kwenye harakati za kuoa.

Kwa niaba ya wanawake wa JF tunakataa kubeba ujauzito kabla ya ndoa.

View attachment 2452960

NB:: Sijapewa ujauzito [emoji779]
Ogopa ndoa wewe kijana.
 
Sijui ilikuwaje kuwaje ila basi nipo ndani tayari ila nahisi ni God's sake

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Jamaaani eti hujui ilikuwajekuwaje basi sawa[emoji1787]
Mpende mkeo
Nampenda sana ila sasa ukiniuliza niliowaje ni vichekesho ila true love is real asee .

Kuoa sio kupanga wala kuchagua but if says now you marry ndugu huwezi chomoka asee.

Nikajikuta utoto wote kule ushamba, malaya zangu wote kule alafu kibaya habari zikasambaa bila mimi kujua nikijaribu kumtafuta mchepuko naambiwa ishia huko huko na mkeo [emoji16][emoji16]

Yaani mwanzo nikajihisi kama jamii sasa yote inajua nimeoa yaani nikikutana na watoto wazuri maeneo ya kujidai nitapiga night nikisema nitunze mawasiliano asubuhi wananizingua kuwa baki na mkeo sisi ilikuwa ni part time.

Oyaa weee if God says you have to marry asee utaoa tu utake usitake .[emoji848]
 
Bantu Lady usinambie wanaooa bila kuzaa na mwanamke ni risk takers😂🙌
Risks inategemea unaitazamaje. In fact, kila kitu hapa duniani kina risk. Mungu huitazama ndoa kama taasisi, ina vitu vingi na ndani yake kuna baraka ya watoto na sio kiwanda Cha kufyetua watoto maana wengine wakiona wenziwao wana changamoto za uzazi hutafuta dirisha la kutokea.
 
Mnaendelea Kufanya uharibifu na kuwapa ujauzito watoto wa watu.

Humu mtu akileta Uzi analalamika kuhusu mapenzi na ndoa utaona comments,

"Kijana kataa ndoa."

"Kimbia ndoa."

"Hakuna kuoa."

"Kindly evacuate, do you copy."

"Mbususu zimejaa."

Mbona hamsemi kataa uzinzi.[emoji2955]

Mmekulia familia za single parents? Mbona wengine hapa mmelelewa na baba na mama?

Cha kushangaa Kila siku vijana ndo wanaoongoza kwa kuoa Tena wale wa under 30[emoji23]. Mimi naona hizi anonymous ID zinatufanya tudanganyane kumbe Kuna wengine wapo kwenye harakati za kuoa.

Kwa niaba ya wanawake wa JF tunakataa kubeba ujauzito kabla ya ndoa.

View attachment 2452960

NB:: Sijapewa ujauzito [emoji779]
Kwani kuoa ni suluhisho la uzinzi
 
Back
Top Bottom