Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kijana kataa ndoa , ndoa ni utapeli kwa dunia ya sasa , haina faida yoyote kwa mwanaume wa sasa., afya yako ya akili ni muhimu kuliko ndoa cr7 hana ndoa Messi hana ndoa billgate alikua na ndoa sasaiv anatatizo la akili ,kijana kataa ndoa kabsa hasa hizi za kikristo ni mwiba mkali mno
 
Nakazia Kataa Ndoa

Ndoa NI Wizi
 
Hivi umesoma na kuelewa nilicho kiandika au umekutupuka.
Kusema kweli mbali na heading tu habari yenyewe sijaisoma. Heading yako imeniaminisha kwamba unapiga vita uzinzi na kutetea ndoa ndo nami nikasema vijana marijali wafanyeje kabla ya kufunga ndoa?

Yawezekana nimekurupuka aisee. Kwani hoja yako kuu ni ipi? [emoji16][emoji16]
 
Haya twende kazi:

Kijana rijali kabisa hana kasoro damu inachemka na ambaye pengine ataoa miaka 10 huko mbele ya safari afanye nini ili kuzima kiu zake za kimaumbile hasa ukizingatia kuwa hata kunyetoka nako ni dhambi?

Katika hali ya kawaida, wewe unaweza kukaa miaka 10+ bila kufanya mapenzi, zinaa, uasherati au huo uzinzi unaousema huku ukisubiri mpaka utakapooa?

Mnapokuja na hizi nadharia mje pia na masuluhisho-tendeka (practical solutions).

Vijana wafanye nini?
Nakazia hapa
 
Watanzania mnapenda kuishi kwa kuwapangia wengine namna ya kuishi.

Kama wewe na dini yenu ndio mnalazimishana kuoa kwanza kabla ya kufanya mapenzi ni nyie.

Mwingine haamini kwenye hizo dini zenu.
Yeye anajua anafanya moja kati ya sifa kuu za viumbe hai.

Ishi maisha unayoona yanakufaa, usilazimishe na wengine waishi unavyotaka.
 
tena hizo nyingi ni maigizo , zilishajifia miezi miwili tu baada ya sherehe
Kabsa mkuu hii kitu ni mbaya mno ata watoto wngu wakiume nawajengea wasije jarbu huu ujinga, tunapoelekea ni kuwa na watz wengi watoto wa masingle mothers , unafikiri nan atakuja kuingia kwenye ndoa na watoto wa ma single mother ? Ndoa inaendea jifia na apo ndipo wanaume wataishi miaka mingi
 
nna jirani yangu hapa ananisimulia kila siku mzozo huko ndani, anajenga karib hapa, yaani namuonea huruma, kwa muonekano kachoshwa sana na ndoa

ndoa wala haina uhai tena, na kibanda chake anachokijenga kwa kuunga unga kitagawanyishwa chap wakiachana , huu wizi wa waziwazi wa ndoa ni wa kuukemea vibaya sana, ni mzigo mkubwa kwa ME
 
Ndoa ni kama ngao kwa mwanamke , haki sawa ni mkuki na silaha yake mkononi , dawati la jinsi ni ngome yake kuu , ebu fikria akiwa na ndoa ,haki sawa na mtoto na dawati la jnsia lazima akili iruke , jiulize tu kwa nini tamaa kuu ya mwanamke ni kuwa kwenye ndoa zaid kuliko kuwa kwenye mahusiano? Ewe kijana epuka huo mtego ni utapeli wa wazi wazi
 
Ndoa ni halili na ni nzuri kwa wanaume MARIO wanaotegemea kulishwa na mwanamke , ila kwa mwanaume mpambanaji ndoa ni jeneza na kaburi refu sna kwake asipo kufa lazima akili iruke
 
Ndoa ni kama ngao kwa mwanamke , haki sawa ni mkuki na silaha yake mkononi , dawati la jinsi ni ngome yake kuu , ebu fikria akiwa na ndoa ,haki sawa na mtoto na dawati la jnsia lazima akili iruke , jiulize tu kwa nini tamaa kuu ya mwanamke ni kuwa kwenye ndoa zaid kuliko kuwa kwenye mahusiano? Ewe kijana epuka huo mtego ni utapeli wa wazi wazi
mke akikupeleka mahakamani, ME huchomoi hata kwa ndumba, "nimenyanyaswa napigwa kila siku, nalazimishwa kutoa TeeGo, NATAKA talaka yangu"

hakuna kusikiliza upande wa ME, bwana hakimu anapiga nyundo mezani "mchakato wa talaka uanze, mchakato wa ugawaji mali uanze pia"

Ushaibiwa Hapo, kweupe kabisa bila silaha yoyote
 
Usipo kua na ndoa mwanaume unaishi na mwanamke vizur mno , ukifunga ndoa mwanamke anaanza kizaa zaa ashapewa cheti chake cha utapeli huku mawakili wake wa dawati la jinsi wakiwa macho ,wanaume wanaoishi kwenye ndoa ni magoigoi na waoga hawana uhuru wakuwa kiume zaid mbele ya wake zao hasa hawa wenye ndoa za kikristo , wamepigwa nyundo ya maisha kwamba kwnye shida wapo kwenye raha wapo ila wengi wao kifo kinawatenganisha.
 
Kwamba ni wakala wa shetani sio Kweli.

1 Wakorintho 7:8
[8]Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.

1 Wakorintho 7:9
[9]Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Hivyo maandiko yameruhusu pia kutokuoa.
 
Back
Top Bottom