Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
HATA SIGARA NA POMBE WATU WANAKATAZWA KUTUMIA, LAKINI WATUMIAJI BADO WAPO. NA MATAOKEO YAO NI INI NA FIGO KUSHINDWA KAZI
HATA NDOA, BIBLIA YENYEWE INAKATAZA NDOA LAKINI WATUMIAJI WAKE WAPO, NA MATOKEO YAKE KILA MMOJA ANAYAPATA KWA WAKTI WAKE. 1 Wakorintho 7:9
 
Kwanza mtu yeyote anayepinga ndoa awe mwanamke au mwanaume basi huyo ni wakala wa shetani hilo halina mjadala.

Mtu yeyote akikwambia eti usioe au usiolewe hata kama ni rafiki yako au ndugu yako basi kuanzia siku hiyo mhesabu kama shetani na adui wa maisha yako kwa sababu mtu anaye kushauri kuwa usioe au usiolewe ina maana ana kushauri kuwa mzinzi na ukisha kuwa mzinzi tiyari ww ni adui wa Mungu.

Ukitaka kuishi maisha yanayo mpendeza mungu ndoa haiepukiki maana mbadala wa ndoa ni uzinzi kwa sababu binadamu hauwezi kuishi bila kufanya ngono.

Kuoa ni dhihirisho la mamlaka ya mwanaume hapa duniani sasa ww mwanaume unaanzaje kukataa kuowa?

Watu wana sema eti ndoa za siku hizi ni pasua kichwa lakini ukichunguza ni zimekuwa pasua kichwa kwasabau jamii imeendekeza uzinzi ,matatizo mengi ndani ya ndoa kwa sasa haya sababishwi na kingine zaidi ya wanandoa kuendekeza uzinzi hata wawapo ndani ya ndoa, ni mara chache kukuta ndoa ina mgogoro inayo husiana na Mambo mengine nje ya wanandoa kutuhumiana juu ya usariti ndani ya ndoa.

Halafu kingine matatizo hayapo kwenye mahusiano ya kindoa tu hata huko kwenye mahusiano yenu ya kinzinzi yamejaa tele. Kwani mara ngapi hapa tumesikia vijana wanajiuwa kisa kuachwa na mademu zao? au mbona kuna vijana kibao wanauwa mademu zao kisa amegundua ana mwanaume mwingine? ina maana pia hata kwenye mahusiano yasiyo ya kindoa bado uzinzi ni tatizo? Kiufupi uzinzi ni sumu kwenye mahusiano yeyote yale.

Kwa maelezo yangu utagundua kuwa uzinzi ndo saratani ndani ya jamii yetu na si ndoa, ina maana jamii yetu ikiamuwa kudhibiti na kuacha kuhusudu uzinzi wa kiholela basi kwa kiasi kikubwa migogoro ndani ya ndoa itapungua sana.

Haya ni baadhi ya madhara ya jamii kuendekeza uzinzi.

(1)Kumeleta rundo la watoto wasio na baba.
(2)Umeshabisha rundo la single mother mitaani.
(3)Umeshababisha rundo la magonjwa ya ajabu ajabu.
(4)Umeshababisha kiwango cha kuheshimiana ndani ya jamii kimeshuka.
(4)Umeshabisha migogoro kwenye ndoa na kusababisha watoto kuteseka hasa baada ya wanandoa kuachana kwa sababu ya uzinzi.

Usikatae ndoa bali kataa uzinzi.
Kataa uzinzi, kataa uzinzi, kataa uzinzi.
 
Mtu yeyote akikwambia eti usioe au usiolewe hata kama ni rafiki yako au ndugu yako basi kuanzia siku hiyo mhesabu
Kataa uzinzi, kataa uzinzi, kataa uzinzi.
Umechagua kuanza siku ki vayolensi sanaaa
 
Haya twende kazi:

Kijana rijali kabisa hana kasoro damu inachemka na ambaye pengine ataoa miaka 10 huko mbele ya safari afanye nini ili kuzima kiu zake za kimaumbile hasa ukizingatia kuwa hata kunyetoka nako ni dhambi?

Katika hali ya kawaida, wewe unaweza kukaa miaka 10+ bila kufanya mapenzi, zinaa, uasherati au huo uzinzi unaousema huku ukisubiri mpaka utakapooa?

Mnapokuja na hizi nadharia mje pia na masuluhisho-tendeka (practical solutions).

Vijana wafanye nini?
 
Nakazia hapo chief, yeyote anayeshabia uzinzi na kujisikia fahari juu ya Hilo hakika amepotoka sana na ni mwana mpotevu wa dhahiri kabisa
 
Haya ni baadhi ya madhara ya jamii kuendekeza uzinzi.

(1)Kumeleta rundo la watoto wasio na baba.
(2)Umeshabisha rundo la single mother mitaani.
(3)Umeshababisha rundo la magonjwa ya ajabu ajabu.
(4)Umeshababisha kiwango cha kuheshimiana ndani ya jamii kimeshuka.
(4)Umeshabisha migogoro kwenye ndoa na kusababisha watoto kuteseka hasa baada ya wanandoa kuachana kwa sababu ya uzinzi.

Usikatae ndoa bali kataa uzinzi.
Kataa uzinzi, kataa uzinzi, kataa uzinzi.

Rekebisha hiyo no 2-4,
Ni UMESABABISHA na sio hayo uliyoandika
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Haya twende kazi:

Kijana rijali kabisa hana kasoro damu inachemka na ambaye pengine ataoa miaka 10 huko mbele ya safari afanye nini ili kuzima kiu zake za kimaumbile hasa ukizingatia kuwa hata kunyetoka nako ni dhambi?

Katika hali ya kawaida, wewe unaweza kukaa miaka 10+ bila kufanya mapenzi, zinaa, uasherati au huo uzinzi unaousema huku ukisubiri mpaka utakapooa?

Mnapokuja na hizi nadharia mje pia na masuluhisho-tendeka (practical solutions).

Vijana wafanye nini?
Vijana waepuke mazingira na vitu ambavyo vitaamsha hisia zao za mapenzi, ikiwemo kucheki porn.

Wajishughulishe na mazoezi Kwa wingi na kushiriki ktk mambo ambayo yatawaweka mbali na kufikiria ngono

Wafunge swaumu mara Kwa mara,unajua shibe ndio huleta nguvu na hamasa ya ngono,lkn ukifunga unapunguza matamanio

Kujitakasa na kujiimarisha Kiroho,kusoma Kwa wingi neno la Mungu na ibada Kwa wingi
 
Uzinzi ni kwa wale waliondani ya ndoa. Waliojikabidhi mbele ya desturi za kidini au mila.

Sisi wengine ni wafanya mapenzi tuu. Kama takwa la kila kiumbe hai.
Nyie ndo mawakara wa shetani mwanaume mzima utaki kuowa unataka uolewe ww?
 
Haya twende kazi:

Kijana rijali kabisa hana kasoro damu inachemka na ambaye pengine ataoa miaka 10 huko mbele ya safari afanye nini ili kuzima kiu zake za kimaumbile hasa ukizingatia kuwa hata kunyetoka nako ni dhambi?

Katika hali ya kawaida, wewe unaweza kukaa miaka 10+ bila kufanya mapenzi, zinaa, uasherati au huo uzinzi unaousema huku ukisubiri mpaka utakapooa?

Mnapokuja na hizi nadharia mje pia na masuluhisho-tendeka (practical solutions).

Vijana wafanye nini?
Hivi umesoma na kuelewa nilicho kiandika au umekutupuka.
 
Back
Top Bottom