Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Mashaallah... Ni Upendo tu ndio kitu kinakupa msukumo. Lets teach love and not competition. Most parents wanaoharibu watoto wanaowafundisha competition kwamba be better than flani. Hio huwa at the end ndio inapelekea tamaa. Lets teach our children to love eachother.
kabisa kabisa
 
ukiona mwanamke mwenye ndoa anadate nje ujue huyo anaendeshwa na tamaa, anajua nje atapata pesa ya hraka kwa jamaa na jamaa hana anachotaka kwake ni ngono hivo anailipia kwa kudate naye kumbe huyu huyu mwanamke angeweza kumweleza mumewe shida alionayo pengine hizo hela angepewa akampa mumewe haki yake kwa uhalali pengine mume hana bas tunausiwa kusubiri kua na subra sasa mtu unataka laki mbili leo leo utapata??

wanawake wenzangu walioko kwenye ndoa hebu wawe na hofu ya Mungu, kwanza ajue kabisa anavyozini anazini kisiri siri lakini Mungu anamuona hilo litoshe kukuusia kuacha, mpaka unaolewa ujue mwanaume amewaona wa kila namna wa kila rangi why wewe?? hebu mpe heshima yake kama una shida huyo ndio mtu unashea naye kitanda mweleze bila kumficha makando kando kwa wote hayana maana, mume amekosa stahmili mvumilie mstiri na shida zake sio tena ndio kelele watu wajue unalala na njaa au hufurahishwi kitandan


jifunzeni kutatua shida zenu wawili kwa kuziongelea sio mnaziweka rohoni zitawaumiza

hakuna anayeweza kutumikia mabwana wawili.
Mungu Akubariki madam, wewe pamoja na Ndoa yako
 
Huu ujinga wa vijana wa hovyo ambao hamtaki kuwa responsible na maisha ya familia ikiwa ni kutunza mke na watoto mnaosambaza humu mitandaoni ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge.

Pia kuna kundi la vijana ambao sio riziki pia wanaojihusisha na maswala ya kugawa speaker aina ya "tweeter" naona hii kampeni wanaishabikia sana maana wanaona wingi wa wanawake ni threat kwa soko lao la mitarimbo.

Kama hujajipanga kiakili na kimkakati usije ukathubutu kuoa. Ndoa ni kwa watu strong mentally and physically fit. Wewe ukiwa unaona kabisa mwanamke atakuzidi ujanja basi kaa pembeni kimya na uache kulisha ujinga vijana waliojipanga kukabiliana na ndoa na kutengeneza familia na jamii bora.

Kama ishu ni mali kuna form huwa inajazwa kabla ya kufungishwa ndoa inayo state kama kuna mali zozote ambazo zinamilikiwa kabla ya ndoa.

Hakuna sababu ya kulia lia tafuta mali zako sajili kampuni ziandikie hizo mali za kampuni. Kisha ukioa muende mkaishi kwenye nyumba ya kampuni mbona ishu iko simple. Mwanasheria wako wa kampuni ndio atalinda mali zako kama hutaki mkeo ahusike nazo.

Kama hayo hapo juu yatakushinda basi una haki ya kutafta mashangazi kokote mjini ili uweze kujipatia huduma ya kuaminika bila kujiingiza kwenye mkataba wa ndoa. Acheni ujinga wa kupumbaza wenzenu.
ole wenu wazinzi wa dunia kuna saa itafika mtatamani ndoa ila mtakuwa meshachelewa Mungu aliyeianzisha taasisi ya ndoa hadhihakiwi pigo ni hapahapa
 
Muwapumzishe mashogaa bas, hizo kataa ndoa ni za wazinzi. Msitake kila jambo [emoji2380] wahusike khaaaah.

Wewe hutaweza kuelewa na hata ukielewa hautakuwa tayari kukubali, hivyo we tumia matundu yako kwa amani yako ya “haki za binadamu”…

Wewe kukushauri binafsi siwezi ila tunawashauri wazee wa “kataa ndoa” ili wasitumike kwenye utengenezaji wa watu wengine kama wewe kitabia sio kiuumbaji.
 
Kuna mwingine ni mpiga nyeto maarufu, ndo dalali wao
 
Sasa kama hatuwezi pata watu sahihi unashauri nini madam!!!? Na maandiko hayakutwambia Oaneni mkateseke
hii sikuiona

Mungu alishatuumba kwa pair, yupo amini kwamba sababu bado unapumua bas mkeo yupo somewhere wakat wa Mungu ukifika wewe mwenyewe utaona huyu ndie yule sahihi utaona ana vigezo muhim sio kope ndefu wala miguu ya kujaa ana tabia ambazo zitakupendeza ukumbukue tu ukiolea miguu ya bia au umbo na uzuri wa uso mwanamke ana stage siku akibeba ujauzito akajifungua lazima abadilike, kam atazngatia kunyonyesha lazima masiwa yatabadilika ndio happ umeoa maziwa yamesimama sasa yamelala unaanzakuhaha kutafta mwengine kuna tabia kama huruma, uchaMungu, mapenz yadhati, heshima, kuvumilia hivi hua vinadumu mpaka mtu anakufa


sasa siku ukifa duniani umemaliza, means ndio bastena lakini sababu unapumua utapata tu wa kwako kwa wakati wa Mungu naamini
 
Wewe hutaweza kuelewa na hata ukielewa hautakuwa tayari kukubali, hivyo we tumia matundu yako kwa amani yako ya “haki za binadamu”…

Wewe kukushauri binafsi siwezi ila tunawashauri wazee wa “kataa ndoa” ili wasitumike kwenye utengenezaji wa watu wengine kama wewe kitabia sio kiuumbaji.
Uongo mtupuu huu, nyie kila kitu ni [emoji2380], ifike hatua muwapumzishe, m deal na wazinzi wapinga ndoa.

Khaaaaaah
 
badala ya kuangalia tatizo nini mnaanza kuwafokea hawa vijana sio wajinga wala hawajakataa mahusiano na wanawake wanachokataa wenyewe ni ule mkataba au kiapo (ndoa) ambao kimsingi sheria na kanuni zake haziendani na maisha halisi katika jamii pia ndoa imeingiliwa na mambo za kiserikali
swali la kujiuliza kwanini vijana wa sasa hawaweki paumbele kwenye kuoa tofauti na wazee au vijana wa miaka iliyopita?
jibu ni kwamba ukiangalia wazee wa zamani walikuwa wakioa wanapata mali na ardhi kutoka kwa wazazi wake kama zawadi au urithi,heshima kutoka kwenye jamii na hata kwa mke wake,wengi walikuwa wanapata wake bikra kwa asilimia kubwa,haki ya umiliki wa watoto,full control ya familia yake ni ngumu sana kukuta maamuzi ya baba yanaingiliwa hata serikali hivi ndio vitu vilivyokuwa vina wahamasisha wanaume waoe kwa wakati huo
sasa njoo kwa wanaume wasasa ambao wanatarajia kuoa kwanza inabidi ajiandae gharama za mahari ambayo alipiwi na mzazi kama zamani,
gharama za sherehe ambayo sio kitu cha lazima lakini sasa kwa binti wengi wa sasa ni kama lazima vile,
kusaini na viapo kitu ambacho MUNGU mwenyewe amekataza viapo lakini ndio kinachofanyika kanuni kabisa ya ndoa sio kwenda kuapa na kusaini ilikuwa ni kubaliki na kuwatakia wanandoa maisha mema,
kwa asilimia kwenye shughuri za ndoa asilimia kubwa hamna mali wala zawadi ambayo anapata mtoto wa kiume pale zaidi ya kutoa pesa zake na labad vipongezi vichache ambavyo haviendani na gharama alizotumia,
umiliki watoto asilimia kubwa za sheria za sasa mtoto ni wamama wengi wababa huimizwa kuhudumia watoto lakini tukienda kwenye mahakama haki umiliki wa mtoto ume base sana kwa mama hii unaweza ukaona haipo lakini ukikuta na mwanamke king'anizi ndio unaweza elewa vizuri,control ya familia imebase sana kwenye external force maamuzi na kanuni nyingi za familia inategemea ana serikali,mahakama,dini na mtazamo wa jamiii tofauti na zamani maamuzi ya familia yalikuwa yanatoka kwa baba na hata wanaume wakipindi hicho walikuwa wana haki ya kuwaadhibu wake zao kwa talaka kwa urahisi zaidi tofauti na sasa ambako mpaka serikali,dini na mahakama mpaka vijilizishe bado utakuta lazima ugharamie hiyo talaka,
kuoa wanawake wasio bikra hii mnaweza kuona kama utani yani hipo hivi jinsi mwanamke anavyo feel proud kuolewa na mwanaume tajiri,maarufu na mwenye kipaji basi ndivyo mwanaume anavyofeel kupata na kuoa mke bikra mwanaume anayeoa mke wake akiwa bado mbichi huwa wengi wao hua na furaha sana,
Yeah hapa mkuu umemaliza kila kitu
 
Hili jambo deep down linaweza kwenda ku push zaidi agenda za upinde……Imagine vijana mnosema kataa kuoa, madai mnawakomesha wanawake na kujilinda kwa afya akili…..what will happen?

mnapiga mnasepa mnapiga mnasepa, matokeo ni nini? ,baadhi ya wanawake hata wale wazuri na sahihi watakuwa discouraged hata na kuanzisha mahusiano na vijana wa kiume watakuwa traumatised. Consequences zake ni nini!?

1….Mabinti watatafuta namna ya kulidhishana wenyewe kwa wenyewe, matango,dildos finally LGBT.

2….Mabinti wakishapata namna ya kuridhishana kwa wingi kumbuka mambo husambaa kwa kasi kama vazi la vijora lilivyoanza mpaka sasa,vijana mtaanza kuhaha kutafuta matundu, mwisho wa siku mtaanza kuangaliana nani mnyonge anyongwe, tamaa plus umasikin wa akili ulioanzishwa utakuta jamii ishakaribisha fully LGBT.

Najua mtasema wale wa kununua watakuwepo, kumbuka moja ya sababu zenu pia ni kuogopa kumhudumia mwanamke, kwa hiyo hata wa kununua mtakuwa mnachungulia mfuko…hata kimasihara itakuwa imepungua kwa kuwa sehem kubwa ya wanawake itakuwa na uoga na wanaume.

Haya yanaweza yasiwe ya leo,kesho wala ya kesho kutwa, ni pengine nyakati ambazo tayari wengi wetu humu tutakuwa tushasepa ulimwenguni, ila kwa kiwa sisi tunaishi kibinafsi tunaweza tukaona ni sawa.

Kumbuka ulimwengu na new world order unaweza jikuta kuwa kuropoka na kutenda “Kataa ndoa, Kataa ndoa” na ukaenda kuzibua milango ambayo hukuitegemea uka catalyse vitu ambavyo labda unavipinga.

Tufanye mambo kuwazia na vizazi vyetu tusiwe wabinafsi kifikra, usikate ndoa kata mtu asiye sahihi katika ndoa.

Tyrone
Its very true wanaume inabidi tuoe ila jipange kwanza 🍯
 
Huu ujinga wa vijana wa hovyo ambao hamtaki kuwa responsible na maisha ya familia ikiwa ni kutunza mke na watoto mnaosambaza humu mitandaoni ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge.

Pia kuna kundi la vijana ambao sio riziki pia wanaojihusisha na maswala ya kugawa speaker aina ya "tweeter" naona hii kampeni wanaishabikia sana maana wanaona wingi wa wanawake ni threat kwa soko lao la mitarimbo.

Kama hujajipanga kiakili na kimkakati usije ukathubutu kuoa. Ndoa ni kwa watu strong mentally and physically fit. Wewe ukiwa unaona kabisa mwanamke atakuzidi ujanja basi kaa pembeni kimya na uache kulisha ujinga vijana waliojipanga kukabiliana na ndoa na kutengeneza familia na jamii bora.

Kama ishu ni mali kuna form huwa inajazwa kabla ya kufungishwa ndoa inayo state kama kuna mali zozote ambazo zinamilikiwa kabla ya ndoa.

Hakuna sababu ya kulia lia tafuta mali zako sajili kampuni ziandikie hizo mali za kampuni. Kisha ukioa muende mkaishi kwenye nyumba ya kampuni mbona ishu iko simple. Mwanasheria wako wa kampuni ndio atalinda mali zako kama hutaki mkeo ahusike nazo.

Kama hayo hapo juu yatakushinda basi una haki ya kutafta mashangazi kokote mjini ili uweze kujipatia huduma ya kuaminika bila kujiingiza kwenye mkataba wa ndoa. Acheni ujinga wa kupumbaza wenzenu.
Ya kwao ni maoni na ya kwako pia ni maoni mwisho wa siku kila mtu atachagua anachoona ni sawa kwake
 
Mnaendelea Kufanya uharibifu na kuwapa ujauzito watoto wa watu.

Humu mtu akileta Uzi analalamika kuhusu mapenzi na ndoa utaona comments,

"Kijana kataa ndoa."

"Kimbia ndoa."

"Hakuna kuoa."

"Kindly evacuate, do you copy."

"Mbususu zimejaa."

Mbona hamsemi kataa uzinzi.🤨

Mmekulia familia za single parents? Mbona wengine hapa mmelelewa na baba na mama?

Cha kushangaa Kila siku vijana ndo wanaoongoza kwa kuoa Tena wale wa under 30😂. Mimi naona hizi anonymous ID zinatufanya tudanganyane kumbe Kuna wengine wapo kwenye harakati za kuoa.

Kwa niaba ya wanawake wa JF tunakataa kubeba ujauzito kabla ya ndoa.


View attachment 2452960

NB:: Sijapewa ujauzito ❗
Kwanini msikatae zinaa kabla ya ndoa?
 
let me skull you
wakataa ndoa ni wanaume wanaotambua thamani yao, tuna value our freedom, respect and inner peace.
Listen my brother, maisha yako na routine zako kimaisha hazibadilishwi na ishu ya ndoa. You are free to pursue your goals kama kawaida. Ndoa isn't going to be an obstacle ya wewe kuendelea kukua.

If it happens mtu uliyechagua kuwa nae ana stagnant growth yako thats must be your own problem and not a public issue.
 
Hao wanaosema kataa ndoa wanajisemea tu.

Lakin kama watajihusisha na wanawake siku yoyote tu watakamatwa kizembe na hawataamin

Kukataa ndoa inabid uachane kabisa na mabinti hawa wamtaani yaan ukitaka kupunguza nyege unaenda kununua malaya hapo unaweza ukawaepuka
Hahahahahah wanawake wana nguvu sana ukiingia kwenye 18 zao. The weak fall prey.
 
Back
Top Bottom