badala ya kuangalia tatizo nini mnaanza kuwafokea hawa vijana sio wajinga wala hawajakataa mahusiano na wanawake wanachokataa wenyewe ni ule mkataba au kiapo (ndoa) ambao kimsingi sheria na kanuni zake haziendani na maisha halisi katika jamii pia ndoa imeingiliwa na mambo za kiserikali
swali la kujiuliza kwanini vijana wa sasa hawaweki paumbele kwenye kuoa tofauti na wazee au vijana wa miaka iliyopita?
jibu ni kwamba ukiangalia wazee wa zamani walikuwa wakioa wanapata mali na ardhi kutoka kwa wazazi wake kama zawadi au urithi,heshima kutoka kwenye jamii na hata kwa mke wake,wengi walikuwa wanapata wake bikra kwa asilimia kubwa,haki ya umiliki wa watoto,full control ya familia yake ni ngumu sana kukuta maamuzi ya baba yanaingiliwa hata serikali hivi ndio vitu vilivyokuwa vina wahamasisha wanaume waoe kwa wakati huo
sasa njoo kwa wanaume wasasa ambao wanatarajia kuoa kwanza inabidi ajiandae gharama za mahari ambayo alipiwi na mzazi kama zamani,
gharama za sherehe ambayo sio kitu cha lazima lakini sasa kwa binti wengi wa sasa ni kama lazima vile,
kusaini na viapo kitu ambacho MUNGU mwenyewe amekataza viapo lakini ndio kinachofanyika kanuni kabisa ya ndoa sio kwenda kuapa na kusaini ilikuwa ni kubaliki na kuwatakia wanandoa maisha mema,
kwa asilimia kwenye shughuri za ndoa asilimia kubwa hamna mali wala zawadi ambayo anapata mtoto wa kiume pale zaidi ya kutoa pesa zake na labad vipongezi vichache ambavyo haviendani na gharama alizotumia,
umiliki watoto asilimia kubwa za sheria za sasa mtoto ni wamama wengi wababa huimizwa kuhudumia watoto lakini tukienda kwenye mahakama haki umiliki wa mtoto ume base sana kwa mama hii unaweza ukaona haipo lakini ukikuta na mwanamke king'anizi ndio unaweza elewa vizuri,control ya familia imebase sana kwenye external force maamuzi na kanuni nyingi za familia inategemea ana serikali,mahakama,dini na mtazamo wa jamiii tofauti na zamani maamuzi ya familia yalikuwa yanatoka kwa baba na hata wanaume wakipindi hicho walikuwa wana haki ya kuwaadhibu wake zao kwa talaka kwa urahisi zaidi tofauti na sasa ambako mpaka serikali,dini na mahakama mpaka vijilizishe bado utakuta lazima ugharamie hiyo talaka,
kuoa wanawake wasio bikra hii mnaweza kuona kama utani yani hipo hivi jinsi mwanamke anavyo feel proud kuolewa na mwanaume tajiri,maarufu na mwenye kipaji basi ndivyo mwanaume anavyofeel kupata na kuoa mke bikra mwanaume anayeoa mke wake akiwa bado mbichi huwa wengi wao hua na furaha sana,