Mnaendelea Kufanya uharibifu na kuwapa ujauzito watoto wa watu.

Humu mtu akileta Uzi analalamika kuhusu mapenzi na ndoa utaona comments,

"Kijana kataa ndoa."

"Kimbia ndoa."

"Hakuna kuoa."

"Kindly evacuate, do you copy."

"Mbususu zimejaa."

Mbona hamsemi kataa uzinzi.🤨

Mmekulia familia za single parents? Mbona wengine hapa mmelelewa na baba na mama?

Cha kushangaa Kila siku vijana ndo wanaoongoza kwa kuoa Tena wale wa under 30😂. Mimi naona hizi anonymous ID zinatufanya tudanganyane kumbe Kuna wengine wapo kwenye harakati za kuoa.

Kwa niaba ya wanawake wa JF tunakataa kubeba ujauzito kabla ya ndoa.




NB:: Sijapewa ujauzito ❗
 
Kama mwanaume huna akili za ktosha acha kuoa, ndoa ni institution kubwa
 
kwanini tuoe?
 
Wengi hujaribu kama mwanamke anauwezo wa kuzaa. Japo ni mambo ya vijana wa sasa. Mababu zao na baba zao hawakuwa na hii tabia.

Kwa upande mwingine inasaidia, kuna mtu wa karibu, kaoa kabinti ndiyo kamemaliza form Six. Anakuja kujua hana uwezo wa kubeba mimba. Kijana anahaha sasa aweze kuzaa nje aitwe baba. Kupanga ni kuchagua...
 
Atulie na ndoa si aliapa kanisani atakua na mkewe kwenye shida na raha, nje anafata nini sasa.
 
Bantu Lady usinambie wanaooa bila kuzaa na mwanamke ni risk takers😂🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…