Mtembezi Kichomi
JF-Expert Member
- Feb 24, 2022
- 696
- 993
Kadanganye wengine sio mm. Mimi kwa siku napokea issues zaidi ya 5 za ndoa hio hadithi za alfuholela holela haibambi.Mkuu hakuna unachoongelea kwa sababu nina uzoefu wa kumkana mwanamke nilie ishi nae mika mi4 ila sina ndoa nae , nikamkana mchana kweupe hakuna sheria iliyonibana , ingekua hyo sheria ina nguvu hakuna mwanamke angekushawishi mfunge ndoa ya cheti.
Hio haki kama Binadamu ni ipi atakayoipata kwako ?Anayo haki kama binadamu ila hana haki kma mwna ndoa labda busara itumike tu.
Hatimae unashindana na mwanamke kudai haki ya kuhudumiwa. [emoji849]Hahaha, anipe yeye mali zake tuone, tukiachana akikaa na watoto siwahudumii kwani? Na akiolewa je na mali zangu ziwe za mme wake mpya?! [emoji23][emoji23]
Kuwa dr sio kwamba unawza kujua hali ya kansa zaidi ya mgonjwa wa kansa , mimi ni mhanga wa hyo sheria, sheria ya mdomo isyo na mashiko na udhibitisho kimaandishi , na nikashinda , ata kama wewe ni jaji mkuu nilishinda na sitafunga ndoa[emoji3][emoji3] ingekua hiyo sheria ina mashiko mkuu hakimu ndoa ya cheti na mashahidi isingekua na maana mkuu hakimu.Kadanganye wengine sio mm. Mimi kwa siku napokea issues zaidi ya 5 za ndoa hio hadithi za alfuholela holela haibambi.
Hata kuolewa ni ndoa.Nasisitiza kama hutai kuoa bhas jua utaolewa tu one day
Haki ya kuishi bila mimi kumdhuru.Hio haki kama Binadamu ni ipi atakayoipata kwako ?
Kushinda kesi haimaanishi uliemshinda Hana haki kisheria.Kuwa dr sio kwamba unawza kujua hali ya kansa zaidi ya mgonjwa wa kansa , mimi ni mhanga wa hyo sheria, sheria ya mdomo isyo na mashiko na udhibitisho kimaandishi , na nikashinda , ata kama wewe ni jaji mkuu nilishinda na sitafunga ndoa[emoji3][emoji3] ingekua hiyo sheria ina mashiko mkuu hakimu ndoa ya cheti na mashahidi isingekua na maana mkuu hakimu.
Mgongwa wa knsa na dr wa kansa yupi anauelewa mkubwa kuhusu Dalili ya kansa ?Kushinda kesi haimaanishi uliemshinda Hana haki kisheria.
Kuhusu huo mfano wa kansa pia sio kweli labda mgonjwa atachomzidi daktari ni kujua maumivu tu ya ugomjwa. Lakini sio dawa Wala athari na vyanzo vya ugonjwa.
Mkuu hakimu mwanamke akitaka kukutapeli kisheria yule uliefunga nae ndoa na yule ulieishi nae miezi mitatu akafanyika mke kisheraia yupi anayo nafasi zaidi yakukupiga za uso?Kushinda kesi haimaanishi uliemshinda Hana haki kisheria.
Kuhusu huo mfano wa kansa pia sio kweli labda mgonjwa atachomzidi daktari ni kujua maumivu tu ya ugomjwa. Lakini sio dawa Wala athari na vyanzo vya ugonjwa.
Daah MB zangu[emoji34].Mgongwa wa knsa na dr wa kansa yupi anauelewa mkubwa kuhusu Dalili ya kansa ?
Wote wanakupiga tofauti hapo ni silaha tu .Mkuu hakimu mwanamke akitaka kukutapeli kisheria yule uliefunga nae ndoa na yule ulieishi nae miezi mitatu akafanyika mke kisheraia yupi anayo nafasi zaidi yakukupiga za uso?
Dr amezikariri tu kichwan hana experience nazo , kuna tofauti kati ya kujua marekani kwa kusimuliwa na kwenda marekaniDaah MB zangu[emoji34].
Inatokea mgonjwa kuhisi dalili za ugonjwa na asijue ugonjwa Gani ?
Dr. atakupa muongozo kuanzia dalili,chanzo, kusambaa na matokeo pamoja na tiba ya ugonjwa.
Bhas tufanye mpigwe pumbu tu bila kuolewa ili mfurahi vzrHata kuolewa ni ndoa.
#KATAANDOA
Sasa basi wakataa ndoa tunakataa hyo silaha anayopewa na sheria , ili litakapo tokea la kutokea niwe mshindi kama mwanaume na nilishafanya hvyo kama mgonjwa wa kansa mbele ya madactari wa kansa.Wote wanakupiga tofauti hapo ni silaha tu .
Huyu ulikosea kumuoa atakupiga na silaha uliyompa na yule ulieishi nae tu atakupiga kwa silaha mbili moja uliyompa na nyingine aliyopewa na Sheria .
Nilitarajia nini sio swali ni utotoKwani ww ulitarajia nini kwa mkeo akupe mpaka ukamuoa ?
NB: Kuishi pamoja na mwanamke kinyumba kwa miezi sita tu hapo itahesabiwa mmeoana Tyr kisheria na ana haki zote za mke. Otherwise aishi kwao .
Pia ukimzalisha Binti wa MTU Tyr ni mzazi mwenzio na utamtunza mtoto wako hata kama Baba wengine wanamla mama wa mtoto wako. (Sad to your Children)
Dr. ana watu wengi wanaomfikia wakiwa na kesi tofauti tofauti kwaio uzoefu anao. Pili ili uwe Doctor kamili lazima ufanye vitendo rasmi vya kurasimisha udoctor wako.Dr amezikariri tu kichwan hana experience nazo , kuna tofauti kati ya kujua marekani kwa kusimuliwa na kwenda marekani
Kweli kabisa, mfano mimi ningekuwa bado nipo kwenye ile ndoa kuna jambo moja lingekuwa limetokea kati ya mambo mawiliMkuu ukiwa peke yako inaweza kuwa shida ndio ila ukiwa na ndoa inaweza kuwa ni kifo chako kabsa.
Ndo nimekwambia kama uliishi na huyo mwanamke kwa miezi sita kiunyumba hapo atakuwa amedhurumiwa tu hakuna kipya. Otherwise useme mlikuwa hamuishi pamoja.Sasa basi wakataa ndoa tunakataa hyo silaha anayopewa na sheria , ili litakapo tokea la kutokea niwe mshindi kama mwanaume na nilishafanya hvyo kama mgonjwa wa kansa mbele ya madactari wa kansa.