Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Mkuu ukiwa peke yako inaweza kuwa shida ndio ila ukiwa na ndoa inaweza kuwa ni kifo chako kabsa.
 
Wengi wenu mnaofungua hizi nyuzi za kuwapingq wakataa ndoa hamna hoja za maana
 
Ndoa lazima iwe kwa mujibu wa sheria na upate cheti chenye saini yako na mashaidi wawili kama mkataba wenu ,hicho ndicho tunakataa na kukipinga kama watu wa mfumo dume .
Hujui husemacho ndoa sio Saini Yako na mwenza.

Nimekwambia hata ukiishi na mwanamke kinyumba kwa miezi sita tu hapo itahesabiwa mmeoana Tyr kisheria na ana haki zote za mke.
 
Hauna hoja kwani Binadamu amezaliwa peke yake na atakufa peke yake that All.
 
Hujui husemacho ndoa sio Saini Yako na mwenza.

Nimekwambia hata ukiishi na mwanamke kinyumba kwa miezi sita tu hapo itahesabiwa mmeoana Tyr kisheria na ana haki zote za mke.
Funga ndoa ya cheti then ishi nahuyo mwanamke sku mbili mwache ,then nenda kaishi na mwanamke miaka 40 bila cheti ,then yule ulieishi nae sku mbil mwenye cheti akupeleke mahakamani ndio utajua una wake wawili au mmoja.
 
Hata usipofunga ndoa ukiishi na mwanamke kinyumba kwa miezi sita atakuwa na haki kama hio Tyr , ko sijaona unachokikwepa.
 
Huyo ulieishi nae siku mbili mtakuwa mmejenga Uchumi upi wa kugawana ?

NB. Itahesabiwa Uchumi mliopata mkiwa pamoja au muda mliokuwa pamoja, hizo nyingine ni story za vijiweni.
 
Mkuu hakuna unachoongelea kwa sababu nina uzoefu wa kumkana mwanamke nilie ishi nae mika mi4 ila sina ndoa nae , nikamkana mchana kweupe hakuna sheria iliyonibana , ingekua hyo sheria ina nguvu hakuna mwanamke angekushawishi mfunge ndoa ya cheti.
 
Uliezaa nae anakaa wapi ? Kwake, kwako ama kwao ?

Kwani ww ukitoa Mali zote ukampa mwanamke aliekuzalia na anakaa na watoto wako kitakuuma nn ?
Hahaha, anipe yeye mali zake tuone, tukiachana akikaa na watoto siwahudumii kwani? Na akiolewa je na mali zangu ziwe za mme wake mpya?! 😂😂
 
Huyo ulieishi nae siku mbili mtakuwa mmejenga Uchumi upi wa kugawana ?

NB. Itahesabiwa Uchumi mliopata mkiwa pamoja au muda mliokuwa pamoja, hizo nyingine ni story za vijiweni.
Hahaha mkuu unachekesha mno nina uzoefu na ninachoongea.
 
Ni kweli ndoa ni changamoto ila hii kampeni inaweza kuwa ina mkono wa wazee wa upinde
 
Back
Top Bottom