Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana jmn je ulijaribu kuwashirikisha wazazi wake na wazazi wako katika hiliWee huniambii kitu nikakuelewa,
Ningekuwa sijawahi kuoa hapo sawa,
Mimi nilifunga ndoa kabisa ya kiislamu ila mwanamke alipoanza kunipangia ratiba ya kwichi kwichi (na mimi hii ndo starehe yangu kubwa), baadae akaanza kuniambia nitaondoka mimi yeye nimuachie nyumba akae na watoto (wakati nyumba yenyewe ya kupanga), ikafika kipindi nikawa hata kurudi nyumbani nachukia nikajikuta nafanya kazi masaa kumi na sita,
Mwanamke unaacha kila kitu ndani lakini hapiki badala yake anaenda kununua chipsi anakula na watoto (huyo alikuwa mama wa nyumbani) nilikuwa nampatia kila anachohitaji mwisho wa siku akawa anajisifu kwa watoto wa dada yangu kwa kuwaambia,
"huyo mjomba wenu mwenyewe nampelekesha"
Siku anaamua kuondoka nyumbani yeye mwenyewe akachukua kila kitu na bado narudi kazini nakuta barua kutoka chang'ombe polisi kanifungulia kesi kwamba nimemfukuza, nimemtolea vyombo nje (ninachoshukuru wale kina dada/mama walikuwa ni waelewa) na walijua kwamba yeye ndo mwenye matatizo hivyo walimuuliza tu, "kwa hiyo wewe unatakaje?"
Akajibu, "nahitaji kila mwezi anipe pesa kwa ajili ya watoto" (kimoyo moyo nikajisemea huyu kumbe anataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi chake)
Maana kabla hatujaachana nilishawahi kumwambia, "nakupa miezi mitatu fikiria ni biashara gani utakayoweza kufanya ambayo itakuwezesha kuhudumia watoto hata ikitokea siku nimekufa" huwezi amini ilipita miezi mitatu nakuja kumuuliza umefikia wapi, ananijibu l, "sijaona biashara ya kufanya", shiiit
Kifupi huyu mwanamke kuna kipindi nilikuwa naishi nae kwa tahadhari, maana nilikuwa naona kabisa tunapoelekea kuna siku mmoja atamuua mwenzie
Kisha mnajaribu kutushawishi tuoe, aaah weeee... tena kwa sasa hivi wapo na msimamo wao wa 50 kwa 50
Nakwambia, "Niache kidogo"
Ni mateso kweli hakuna kufichana hii kampeni idumu hawa wanatuua halafu wanataka tuwaoe tena..kataa ndoa ndoa ni kifoKiukweli ndoa za Sasa ni ngumu sana ni vile wanaume tunakufa na tai shingoni, tena sisi tuliojichanganya kuoa watumishi acha tu!
Mkuu, mwanzo dada yangu alihisi namsingiziaPole sana jmn je ulijaribu kuwashirikisha wazazi wake na wazazi wako katika hili
Kataa NdoaKampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi Kwa kuwa hazina Nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania, wewe unayeshawishi watu wasioE umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Hakuna anaekataa kuoa, bali watu wanakataa ndoa, ni kweli hamuelewi?Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi Kwa kuwa hazina Nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania, wewe unayeshawishi watu wasioE umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Hatulazamishi ila tunamsubiri Binti Yako atuzalie Kisha tumrudishe kwako utulelee tena na wajukuu wako .Kama ndoa ni tamu namna hiyo, mbona mnalazimisha vijana waingie humo, kitu kizuri hakiitaji kukipigia debe.
Kataa NdoaKampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi Kwa kuwa hazina Nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania, wewe unayeshawishi watu wasioE umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Nitafute Mali zangu mwenyewe kwa jasho, Biashara,Nyumba, gari halafu nioe tukiachana eti tugawane mali aise" Kataa Ndoa.Kataa Ndoa
Ndoa ni Utumwa
Ndoa ni Utapeli
Kataa Ndoa.
Mkuu, mwanzo dada yangu alihisi namsingizia
Ila kuna siku alinijibu mbovu mbele yake ndo akaamini
Nilishafanya vikao sana ikafikia hatua mwisho wa siku Dada yangu akaniambia,
"Bwana we mi nimeshasema weeeee nimechoka, kilichobaki pambania mwenyewe ndoa yako"
Hapo nimeshaitisha vikao vya kifamilia sana wajomba zake wameshakuja kusuruhisha anakaa anatulia wiki tatu wiki ya nne anarudia, yaani alikuwa anatulia ndani ya wiki tatu tu ya nne analianzisha tena
Akawa anawapigia simu wajomba zake anawajaza maneno weeee mwisho wa siku mimi ndo nikawa naonekana mbaya
Siku nikawa nikitaka kuonana na mjomba wake akawa ananikwepa
Nikaona mambo yasiwe mengi ikabidi niachane nae
Maana wajomba zake baada ya kusuruhisha mara mbili zote mwisho wa siku anakuja kurudia tabia zake zile zile kisha anawapigia simu na kuanza kunipaka ili mimi nionekane mbaya
Na ndugu zangu walishachoshwa na sisi
Ikabidi niachane nae tu japo tulikuwa na watoto wadogo mmoja alikuwa ndo kwanza ana miezi minne(hii mpaka leo nikifikiria inaniumiza)
Ila hakuna namna
Pole sana jmn watu wa hivi hufanya makusudi ikiwa wanajua wanapendwa.Ataenda ila kuna siku atarudi,kuna wanawake wengine hutumia upendo wa mtu vibaya akijua anapendwa ataanza kukudharau,kukufanyia mabaya kwa kuwa anajua huwezi kumuacha.Ila ipo siku atarudi dunia ya leo kupata wa kuoa ni ngumu sana.Kwa kuwa dini yako inaruhusu tafuta mwingine mwenye vigezo vya kukufaa mtu mmoja asikusababishe uione dunia mbaya.Wanawake wema bado wapo dunianiMkuu, mwanzo dada yangu alihisi namsingizia
Ila kuna siku alinijibu mbovu mbele yake ndo akaamini
Nilishafanya vikao sana ikafikia hatua mwisho wa siku Dada yangu akaniambia,
"Bwana we mi nimeshasema weeeee nimechoka, kilichobaki pambania mwenyewe ndoa yako"
Hapo nimeshaitisha vikao vya kifamilia sana wajomba zake wameshakuja kusuruhisha anakaa anatulia wiki tatu wiki ya nne anarudia, yaani alikuwa anatulia ndani ya wiki tatu tu ya nne analianzisha tena
Akawa anawapigia simu wajomba zake anawajaza maneno weeee mwisho wa siku mimi ndo nikawa naonekana mbaya
Siku nikawa nikitaka kuonana na mjomba wake akawa ananikwepa
Nikaona mambo yasiwe mengi ikabidi niachane nae
Maana wajomba zake baada ya kusuruhisha mara mbili zote mwisho wa siku anakuja kurudia tabia zake zile zile kisha anawapigia simu na kuanza kunipaka ili mimi nionekane mbaya
Na ndugu zangu walishachoshwa na sisi
Ikabidi niachane nae tu japo tulikuwa na watoto wadogo mmoja alikuwa ndo kwanza ana miezi minne(hii mpaka leo nikifikiria inaniumiza)
Ila hakuna namna
Uliezaa nae anakaa wapi ? Kwake, kwako ama kwao ?Tutaendelea kuoa, kuzaa, na kujenga familia, ila ndoa hapana, Kataa ndoa. La sivyo sheria za kugawana mali ziangaliwe upya
Aliniambia huyo mwanamke asharudi anataka warudiane, jamaa ana mtu mwingine kwa SasaPole sana jmn watu wa hivi hufanya makusudi ikiwa wanajua wanapendwa.Ataenda ila kuna siku atarudi,kuna wanawake wengine hutumia upendo wa mtu vibaya akijua anapendwa ataanza kukudharau,kukufanyia mabaya kwa kuwa anajua huwezi kumuacha.Ila ipo siku atarudi dunia ya leo kupata wa kuoa ni ngumu sana.Kwa kuwa dini yako inaruhusu tafuta mwingine mwenye vigezo vya kukufaa mtu mmoja asikusababishe uione dunia mbaya.Wanawake wema bado wapo duniani
Mali zipi ww acha mikwara .Kataa Ndoa
Ndoa ni Utumwa
Ndoa ni Utapeli
Kataa Ndoa
Nitafute Mali zangu mwenyewe kwa jasho, Biashara,Nyumba, gari halafu nioe tukiachana eti tugawane mali aise" Kataa Ndoa.
Ndoa ni Utapeli