πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ wabongo bhana. Ilitakiwa ujibu hoja zao na sio kuwatukana kuwaita mashoga. Ina maana hujui kama wapo mashoga ambao wameoa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Hyo sheria haina mashiko Sana ndio maana hauwezi kuwa raisi kama hauna ndoa , hata kama umeishi na mwanamke miezi mi tatu , lazima uwe na cheti
Narudia tena huyo ni mkeo hata kama hicho Cheti cha ndoa hakipo. Ukitaka kutikisa kibiriti jaribu kumfukuza huyo mwanamke kama hujaja kutoa ushuhuda hapa .
 
Utupe Binti Zako watuzalie alafu tukurudishie kwako utulelee wajukuu.
Nina walea binti zangu waje waheshimu waume zao kama wanavyomheshimu Mungu , huo ubavu wakuwazalisha na kuwarudisha utaupatia wap mkuu.
 
Narudia tena huyo ni mkeo hata kama hicho Cheti cha ndoa hakipo. Ukitaka kutikisa kibiriti jaribu kumfukuza huyo mwanamke kama hujaja kutoa ushuhuda hapa .
Nilisha fanya hivyo ,sna haja ya kurudia kwa sababu nilio nao sasa iv wanafuata matakwa yangu.
 
Camera ya nn, yaani ww ulale na mwanamke nyumba moja na hamna udugu kati yenu miezi sita na bado unataka ushahidi wa kwamba mlifanya tendo. Labda ututhibitishie ww ushoga wako kwamba unaweza. Vinginevo sisi wanaume Sheria itabaki palepale .
Sheria haiendeshwi kwa hisia ndugu yangu, hujui sheria si hisia bali ni facts? Fact is huwezi kuprove kwamba tulilala kinyumba kwa siku 180, kikubwa ni hisia tu, sheria haiendeshwi kwa huruma wala gut feeling au hisia, wewe mtu wa sheria za wapi wewe πŸ˜‚πŸ˜‚ , nikisema tulikuwa na ugomvi kwa kipindi chote ila tuliamua kuficha ugomvi wetu ili tulee watoto wetu utabisha?

Ingekuwa ni hisia watu wangehukumiwa kunyongwa kila siku kwa kuhisi tu kwamba ameua πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila mkuu kama haujui sheria apa nchini kwetu utaendeshwa ata kwa hisia tu[emoji3][emoji3]
 
Sheria imekuamini ww kama Mwanaume aliekamilika ndo maana ikawekwa miezi sita kwa kuamini mwanaume aliekamilika lazima atafanya tendo muda huo endapo atakuwa na Binti asie haramu yake.

Nd maana nimekuuliza ww maana sisi tutapokuhoji tutataka kujua kama ni ndugu ama laah Kisha kama ninyi sio ndugu kilichobaki ni ww kuthibitisha ushoga wako. Hapo nd tutakuacha tukijiridhisha ushoga wako.
 
Hakuna sheria za hisia hivyo labda mkutane na bogazi kwenye hlo dawati lenu la jinsia.
 
Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi kwa kuwa hazina nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania

Wewe unayeshawishi watu wasioe umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Mbona mnatuandama sana nyie, hoja yenu ni ipi hasa mpaka mtulazimishe kuoa!!!?? Kama kweli mna hoja basi wekeni hoja nasi tuweke zetu then wananchi watachagua waoe au wasioe kutokana na hasara na faida watakazookota kwenye huo mjadala.

Vijana wangu kataeni ndoa, Ndoa ni utapeli, ndoa ni unyonyaji.
#KATAANDOA
 
Hakuna sheria za hisia hivyo labda mkutane na bogazi kwenye hlo dawati lenu la jinsia.
Sheria msumeno.

Ww hata ukitaka kujiua Tyr ni kosa. Na mwili ni wako mwenyewe.

Au ukitishia kuua na haujaua Tyr ni kosa kisheria.

Hio ardhi unayodai unaimiliki ni Mali ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania . Ndo maana mnalipia Kodi.

Mtoto aliefikisha umri wa kwenda shule ni Mali ya Jamhuri ya muungano. Ndo maana usimpompeleka kwa Sasa utachukuriwa hatua tu .

Cha ajabu mnakaza fuvu na 50/50 ya mwanamke, kama sio wivu kwa Wanawake nini,?
 
Hatulazamishi ila tunamsubiri Binti Yako atuzalie Kisha tumrudishe kwako utulelee tena na wajukuu wako .
Hujibu hoja anabaki kutoa useless Mainer jibu hoja binti yangu si mm naye atakuja kujenga maisha yake yangu mm hayamuusu yeye na mda ukifika yake mm hayaniusu mm
 
Kinachonifanya nisitake ndoa sioni faida ya ndoa, kuna ndugu yangu nimuuliza toka umefunga ndoa umepata faida gani akajibu bima ya afya kisa kaoa mfanyakazi wa serikalini[emoji3][emoji3][emoji3] bora ata na huyo.
Ndio nimekwambia huyo unaeishi NAE Tyr ni mkeo.

Hicho Cheti ni sehemu tu ya ushahidi wa ndoa .
 
Hujibu hoja anabaki kutoa useless Mainer jibu hoja binti yangu si mm naye atakuja kujenga maisha yake yangu mm hayamuusu yeye na mda ukifika yake mm hayaniusu mm
Hayakuhusu wakati nimekwambia nataka nimzalishe alafu nitamrudisha na wajukuu wako tutaopata utulelee ww .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…