Suleiman mchawi WA Rhymes
JF-Expert Member
- Apr 24, 2022
- 405
- 1,008
😃😃😃 wabongo bhana. Ilitakiwa ujibu hoja zao na sio kuwatukana kuwaita mashoga. Ina maana hujui kama wapo mashoga ambao wameoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utupe Binti Zako watuzalie alafu tukurudishie kwako utulelee wajukuu.Hakuna watu nawapenda kama mabinti zangu watatu mama yao na mama yangu , hyo haibadilishi kwamba kwa sasa ndoa ni utapeli kwa mwanaume.
Narudia tena huyo ni mkeo hata kama hicho Cheti cha ndoa hakipo. Ukitaka kutikisa kibiriti jaribu kumfukuza huyo mwanamke kama hujaja kutoa ushuhuda hapa .[emoji3][emoji3][emoji3]Hyo sheria haina mashiko Sana ndio maana hauwezi kuwa raisi kama hauna ndoa , hata kama umeishi na mwanamke miezi mi tatu , lazima uwe na cheti
Nina walea binti zangu waje waheshimu waume zao kama wanavyomheshimu Mungu , huo ubavu wakuwazalisha na kuwarudisha utaupatia wap mkuu.Utupe Binti Zako watuzalie alafu tukurudishie kwako utulelee wajukuu.
Nilisha fanya hivyo ,sna haja ya kurudia kwa sababu nilio nao sasa iv wanafuata matakwa yangu.Narudia tena huyo ni mkeo hata kama hicho Cheti cha ndoa hakipo. Ukitaka kutikisa kibiriti jaribu kumfukuza huyo mwanamke kama hujaja kutoa ushuhuda hapa .
Sheria haiendeshwi kwa hisia ndugu yangu, hujui sheria si hisia bali ni facts? Fact is huwezi kuprove kwamba tulilala kinyumba kwa siku 180, kikubwa ni hisia tu, sheria haiendeshwi kwa huruma wala gut feeling au hisia, wewe mtu wa sheria za wapi wewe 😂😂 , nikisema tulikuwa na ugomvi kwa kipindi chote ila tuliamua kuficha ugomvi wetu ili tulee watoto wetu utabisha?Camera ya nn, yaani ww ulale na mwanamke nyumba moja na hamna udugu kati yenu miezi sita na bado unataka ushahidi wa kwamba mlifanya tendo. Labda ututhibitishie ww ushoga wako kwamba unaweza. Vinginevo sisi wanaume Sheria itabaki palepale .
Ila mkuu kama haujui sheria apa nchini kwetu utaendeshwa ata kwa hisia tu[emoji3][emoji3]Sheria haiendeshwi kwa hisia ndugu yangu, hujui sheria si hisia bali ni facts? Fact is huwezi kuprove kwamba tulilala kinyumba kwa siku 180, kikubwa ni hisia tu, sheria haiendeshwi kwa huruma wala gut feeling au hisia, wewe mtu wa sheria za wapi wewe [emoji23][emoji23]
Ingekuwa ni hisia watu wangehukumiwa kunyongwa kila siku kwa kuhisi tu kwamba ameua [emoji23][emoji23]
Sheria imekuamini ww kama Mwanaume aliekamilika ndo maana ikawekwa miezi sita kwa kuamini mwanaume aliekamilika lazima atafanya tendo muda huo endapo atakuwa na Binti asie haramu yake.Sheria haiendeshwi kwa hisia ndugu yangu, hujui sheria si hisia bali ni facts? Fact is huwezi kuprove kwamba tulilala kinyumba kwa siku 180, kikubwa ni hisia tu, sheria haiendeshwi kwa huruma wala gut feeling au hisia, wewe mtu wa sheria za wapi wewe [emoji23][emoji23]
Ingekuwa ni hisia watu wangehukumiwa kunyongwa kila siku kwa kuhisi tu kwamba ameua [emoji23][emoji23]
Hakuna sheria za hisia hivyo labda mkutane na bogazi kwenye hlo dawati lenu la jinsia.Sheria imekuamini ww kama Mwanaume aliekamilika ndo maana ikawekwa miezi sita kwa kuamini mwanaume aliekamilika lazima atafanya tendo muda huo endapo atakuwa na Binti asie haramu yake.
Nd maana nimekuuliza ww maana sisi tutapokuhoji tutataka kujua kama ni ndugu ama laah Kisha kama ninyi sio ndugu kilichobaki ni ww kuthibitisha ushoga wako. Hapo nd tutakuacha tukijiridhisha ushoga wako.
Daah MB zangu [emoji34].Hakuna sheria za hisia hivyo labda mkutane na bogazi kwenye hlo dawati lenu la jinsia.
Kinachokukimbiza kwenye ndoa ni nini Sasa kama hakuna Sheria za hisia ?Hakuna sheria za hisia hivyo labda mkutane na bogazi kwenye hlo dawati lenu la jinsia.
Kataa ndoa haina uhusiano na kukataa mwanamke , kama una ndoa shukuru kwa kupata mke mwema , kufunga ndoa ni kma kamari kushinda kamari hakumaanishi kma kamari ni kitu kizuri mno , kuna walioko kwenye kamari wanaokula na wanaoliwa , haimaanishi kama walio njee ya kamari ni mashoga.Daah MB zangu [emoji34].
Kinachonifanya nisitake ndoa sioni faida ya ndoa, kuna ndugu yangu nimuuliza toka umefunga ndoa umepata faida gani akajibu bima ya afya kisa kaoa mfanyakazi wa serikalini[emoji3][emoji3][emoji3] bora ata na huyo.Kinachokukimbiza kwenye ndoa ni nini Sasa kama hakuna Sheria za hisia ?
Mbona mnatuandama sana nyie, hoja yenu ni ipi hasa mpaka mtulazimishe kuoa!!!?? Kama kweli mna hoja basi wekeni hoja nasi tuweke zetu then wananchi watachagua waoe au wasioe kutokana na hasara na faida watakazookota kwenye huo mjadala.Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi kwa kuwa hazina nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania
Wewe unayeshawishi watu wasioe umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Nyie wanawake ndoa ni tamu sana kwenu.Hawajui utamu wa ndoa
Wake zenu wanatujua vizuri.Nasisitiza kama hutai kuoa bhas jua utaolewa tu one day
Sheria msumeno.Hakuna sheria za hisia hivyo labda mkutane na bogazi kwenye hlo dawati lenu la jinsia.
Hujibu hoja anabaki kutoa useless Mainer jibu hoja binti yangu si mm naye atakuja kujenga maisha yake yangu mm hayamuusu yeye na mda ukifika yake mm hayaniusu mmHatulazamishi ila tunamsubiri Binti Yako atuzalie Kisha tumrudishe kwako utulelee tena na wajukuu wako .
Ndio nimekwambia huyo unaeishi NAE Tyr ni mkeo.Kinachonifanya nisitake ndoa sioni faida ya ndoa, kuna ndugu yangu nimuuliza toka umefunga ndoa umepata faida gani akajibu bima ya afya kisa kaoa mfanyakazi wa serikalini[emoji3][emoji3][emoji3] bora ata na huyo.
Hayakuhusu wakati nimekwambia nataka nimzalishe alafu nitamrudisha na wajukuu wako tutaopata utulelee ww .Hujibu hoja anabaki kutoa useless Mainer jibu hoja binti yangu si mm naye atakuja kujenga maisha yake yangu mm hayamuusu yeye na mda ukifika yake mm hayaniusu mm