Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Mkuu utafanya nini labda utakachofanikiwa ni kumla tu
Nimekwambia THUBUTU. otherwise kasomeni tena hizo Sheria za Ndoa.

Ww umeoa hata kama hujafanya harusi sherehe. Cha kupinga hapo ni Sheria Mbovu za ndoa ikiwemo hio inayosema ww una ndoa na sio kupinga ndoa .
 
Sio lazma nijibu kwa mtindo unaotaka ww , unachoongea ni kweli lakini sio sahihi sana , ndio maana watu wanaishi na wanawake wanatelekeza na hawafanyi chochote zaid tu unatumia busara kumpa vimatumizi ili alee watoto.
Ukiona hivyo huyo mwanamke hajitambui kama asivyojitambua huyo mwanaume wake.
 
Nimekwambia THUBUTU. otherwise kasomeni tena hizo Sheria za Ndoa.

Ww umeoa hata kama hujafanya harusi sherehe. Cha kupinga hapo ni Sheria Mbovu za ndoa ikiwemo hio inayosema ww una ndoa na sio kupinga ndoa .
Mkuu huna cha kufanya labda ukutane na wajinga jinga wanaoogopa binadamu wenzao sina ndoa , nilitekwa kwa vitisho niishi nae ila sio kwa ridhaa yangu tena bora , mkuu hakimu hii kesi ipo mbele yako nitoke kwenye kifungo cha vitisho.
 
Dhumuni sio kujimwambafai ni kukuonyesha wengi wao walio wasomi ni feminist , ila ukiwa na msimamo hauyumbishwi , kuhusu account za watoto ni jambo la zuri la kuiga ata kama nmekudanganya au ni ndoto zangu , tukirudi kwenye point kwa sheria hiz za ndoa na kizazi kilivyoharibika hata hawa watoto wng nitawajenga wakijua ndoa ni utapeli tu
Sasa ufeminist hapo umeingiaje🤣🤣🤣🤣 mko tu intimidated na wanawake wanaowachana ukweli. Nasema hivi. Huyo uliemzoa zoa huko akakuzalia sio msomi kwasababu angekua msomi angekua feminist (according to your definition of feminism) so umeokota wa kukuzalia ndo maana hana msimamo. Hao mnaowaita feminist hawana akili hizo. Huwezi kutotoleshwa wananchi watatu na bado umekaa tu. Hana mpango wa maisha? Na wewe kwa definition yako ya feminist inaonesha huyo uliemzalisha hajishughulishi na chochote na akikaa kizembe watafika tisa. Anadhani una akili za kuja kumsaidia na yeye kisa amezaa! Women have to wake up and stay far away from selfish men like you are. Unamtumia na bado unamwita single mom. Wewe ni mpumbavu. You have no respect
 
Sio lazma nijibu kwa mtindo unaotaka ww , unachoongea ni kweli lakini sio sahihi sana , ndio maana watu wanaishi na wanawake wanatelekeza na hawafanyi chochote zaid tu unatumia busara kumpa vimatumizi ili alee watoto.
Ukiona mwanamke umemtelekeza na hakuna hatua aliochukua fahamu Kuna mawili ama alikupenda (anakupenda bado) ama hajitambui . Na yote hayo hakuna kizuri upande wako
 
Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi kwa kuwa hazina nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania

Wewe unayeshawishi watu wasioe umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
KATAA NDOA

NDOA UTAPELI
 
Nimekwambia THUBUTU. otherwise kasomeni tena hizo Sheria za Ndoa.

Ww umeoa hata kama hujafanya harusi sherehe. Cha kupinga hapo ni Sheria Mbovu za ndoa ikiwemo hio inayosema ww una ndoa na sio kupinga ndoa .
Huyu Halijui hilo. Huyu jamaa ni layman. Akatafute presumption of marriage. Unadhani kumzalisha mtu watoto watatu na kumwacha anazagaa hapo ndo umekimbia repercussions za ndoa? Akiamua kusema wewe ni mumewe ana uwezo huo na mahakama inakubali. Tatizo mnakaza mafuvu wakati ni vilaza. min -me
 
Sasa ufeminist hapo umeingiaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mko tu intimidated na wanawake wanaowachana ukweli. Nasema hivi. Huyo uliemzoa zoa huko akakuzalia sio msomi kwasababu angekua msomi angekua feminist (according to your definition of feminism) so umeokota wa kukuzalia ndo maana hana msimamo. Hao mnaowaita feminist hawana akili hizo. Huwezi kutotoleshwa wananchi watatu na bado umekaa tu. Hana mpango wa maisha? Na wewe kwa definition yako ya feminist inaonesha huyo uliemzalisha hajishughulishi na chochote na akikaa kizembe watafika tisa. Anadhani una akili za kuja kumsaidia na yeye kisa amezaa! Women have to wake up and stay far away from selfish men like you are. Unamtumia na bado unamwita single mom. Wewe ni mpumbavu. You have no respect
Umeweka hisia mno , legeza ubongo binafsi single mother siwezi ata mtongoza tu , ila ndoa hapana , haina faida kwangu kama najua kutafuta kwanini nisizae ata wawe 50 ni matakwa yangu , kuna wanawake ni feminist ila ukiwa mwanaume haswa hawana jipya unawazalisha ata kumi kama mayai yapo.
 
Mimi nimeoa ila nakataa ndoa ,njoo na hoja kwamba ndoa ina umuhimu .
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Ww umeoa Tyr .

Ndoa ni nomino.

Kuoa ni kitenzi.

Ni kama usingizi na kusinzia, huwezi ukasinzia alafu ukasema Sina usingizi


Ww sio team kataa Ndoa ww ni team kataa Sheria Mbovu za Ndoa .
 
Back
Top Bottom