Mwanamke kabla hajaolewa alikua mtu baada ya kuolewa sasa hakuna rangi jamaa hajawahi kuziona, kabla hajaoa alikua na mipango na malengo makubwa baada ya kuoa mipango na malengo yote imekufa mwanamke hataki jamaa anachotaka anataka anachotaka yeye tu ndio kifanyike sasa huo km sio utapeli ni nini?Si ndie aliemchagua ? ana alichaguliwa ?
Inakandamiza vipi wanaume na kuwa saidia feminist?Sheria ya Ndoa ndio Mwiba kwa wanaume ni Sheria Mbovu Mbovu Mbovu kuwahi kutokea alafu eti tuna wabunge na wanasheria wapo tu wanaichekea hii Sheria kandamizi, Sheria inayoubeba u-feminist juu na kukandamiza wanaume chini Sheria hii ina manufaa gani sasa?
Mkuu ata ukioa usifunge ndoa ,kataa ndoa ndoa ni utapel.ndoa ni scammer kweli ila tatizo ni GENYEEE yani utakufaa na ukimwi unajionaaa labda kama sio rijaliii....!!! utajikuta unapoteza helaa na muda mwingii kuwa na mahusiano tofauti tofauti mwisho wa siku uje kutaka kuuwa watu sababu umetoa mahela wengine wanajiliaa bila uogaa.
Endelea kujidanganyaNdoa yenye mashaidi na sahhi yangu hyo ndio ndoa kwa mujibu wa sheria , vinginevyo nitumie tu busara kumtunza tukiachna, kama ile sio ndoa kwa nini iwepo ??
Mkuu pigia lamination hii comment Yako mm nitalipia.ndoa ni scammer kweli ila tatizo ni GENYEEE yani utakufaa na ukimwi unajionaaa labda kama sio rijaliii....!!! utajikuta unapoteza helaa na muda mwingii kuwa na mahusiano tofauti tofauti mwisho wa siku uje kutaka kuuwa watu sababu umetoa mahela wengine wanajiliaa bila uogaa.
Ndivyo alivyomlea.Mwanamke kabla hajaolewa alikua mtu baada ya kuolewa sasa hakuna rangi jamaa hajawahi kuziona, kabla hajaoa alikua na mipango na malengo makubwa baada ya kuoa mipango na malengo yote imekufa mwanamke hataki jamaa anachotaka anataka anachotaka yeye tu ndio kifanyike sasa huo km sio utapeli ni nini?
KATAA NDOA
Kama kukaa nae miaka miwili ni ndoa sasa mbona wanataka ndoa tena Achana naharusi .Inakandamiza vipi wanaume na kuwa saidia feminist?
Ndoa sio lazima muingie kanisani. Ukikaa nae miaka miwili ni wako huyo. So labda uwe man whore
Nilitaka nikuvute ili ujieleze mwenyewe kwamba unaishi nae.Hakuna single mother anaishi na mwanaume mkuu .
Nani anataka ndoa wakati tayari anayo na inatambulika kisheria. Wewe ndo hujui unachokitaka na usichokitaka. Mwanamke wa kukufanyia unayoyaogopa anauwezo wa kuyafanya whether uliingia nae ndoa ya kusaini makaratasi au ya kukamatana na kuwekana ndani.Kama kukaa nae miaka miwili ni ndoa sasa mbona wanataka ndoa tena Achana naharusi .
Wewe kinachoongelewa kumbe haukielewi, hio kupiga na kuweka ndani watu haiwasumbui issue inaongelewa ndoa km ndoaInakandamiza vipi wanaume na kuwa saidia feminist?
Ndoa sio lazima muingie kanisani. Ukikaa nae miaka miwili ni wako huyo. So labda uwe man whore
Nilishawahi kuishi na kinyumba tu, miaka mingi tu nikamfukuza kaenda kwenye sheria alichofanikiwa sio hicho alichotajaria kwani hata kama ningemwacha lazma watoto wangu ningewahudmia tu .ila ningekua nina ndoa ningeumia mno kwan pale kulikua na timu ya single mother wa dawati la jinsia.Endelea kujidanganya
Ndoa kama ndoa ndo kinachokupeleka mahakamani. Whether mli sign au hamkusign makaratasi ya ndoa. As long as uliishi nae miaka miwili huyo ni mkeo sasa umeepuka nini?Wewe kinachoongelewa kumbe haukielewi, hio kupiga na kuweka ndani watu haiwasumbui issue inaongelewa ndoa km ndoa
Yaan umesema kwamba?Ndivyo alivyomlea.
[emoji2781] likijaa maji niite .Nilishawahi kuishi na kinyumba tu, miaka mingi tu nikamfukuza kaenda kwenye sheria alichofanikiwa sio hicho alichotajaria kwani hata kama ningemwacha lazma watoto wangu ningewahudmia tu .ila ningekua nina ndoa ningeumia mno kwan pale kulikua na timu ya single mother wa dawati la jinsia.
Yaan usiniletee kipande chochote cha LMA kunielezea huo ushubwada wako nishakwambia hio Sheria ni Mbovu unataka nini kingine?Ndoa kama ndoa ndo kinachokupeleka mahakamani. Whether mli sign au hammusign makaratasi ya ndoa. As long as uliishi nae miaka miwili huyo ni mkeo sasa umeepuka nini?
Wewe ndo hujui wala huelewi kinachoongelewa. Ndoa sio kufunga ndoa kanisani, msikitini au serikalini, ndoa inatambulika hata unapoishi na mwanamke miaka miwili na zaidi. Sasa labda ukamate wa kimboka upuyange nao hadi uwe unatoa usaha.
Ndivyo alivyomlea. Kipato cha Buku unaongaje laki.Yaan umesema kwamba?
Ukiipinga ndoa pinga na Uzinzi,siyo upinge ndoa halafu uendelee kuwa mzinzi!.Ndoa ni utapeli na kuzini tutaendelea Kila mtu achume dhambi zake.
Nawe unaeoa tusikuone huku nje kutafuta pisi kimasihara. Endelea kuchakata mbususu Moja mpaka kifo kitakapowatenganisha, usimkumbuke ata mchepuko hakuna kutiana nje[emoji51][emoji51][emoji51]
Tuone kama utatoboa[emoji1787][emoji1787]
Kwaio unachopinga sio ndoa bali ni Sheria Mbovu za ndoa.?Yaan usiniletee kipande chochote cha LMA kunielezea huo ushubwada wako nishakwambia hio Sheria ni Mbovu unataka nini kingine?