Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Mwanamke kabla hajaolewa alikua mtu baada ya kuolewa sasa hakuna rangi jamaa hajawahi kuziona, kabla hajaoa alikua na mipango na malengo makubwa baada ya kuoa mipango na malengo yote imekufa mwanamke hataki jamaa anachotaka anataka anachotaka yeye tu ndio kifanyike sasa huo km sio utapeli ni nini?Si ndie aliemchagua ? ana alichaguliwa ?
KATAA NDOA