Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Si ndie aliemchagua ? ana alichaguliwa ?
Mwanamke kabla hajaolewa alikua mtu baada ya kuolewa sasa hakuna rangi jamaa hajawahi kuziona, kabla hajaoa alikua na mipango na malengo makubwa baada ya kuoa mipango na malengo yote imekufa mwanamke hataki jamaa anachotaka anataka anachotaka yeye tu ndio kifanyike sasa huo km sio utapeli ni nini?

KATAA NDOA
 
Sheria ya Ndoa ndio Mwiba kwa wanaume ni Sheria Mbovu Mbovu Mbovu kuwahi kutokea alafu eti tuna wabunge na wanasheria wapo tu wanaichekea hii Sheria kandamizi, Sheria inayoubeba u-feminist juu na kukandamiza wanaume chini Sheria hii ina manufaa gani sasa?
Inakandamiza vipi wanaume na kuwa saidia feminist?

Ndoa sio lazima muingie kanisani. Ukikaa nae miaka miwili ni wako huyo. So labda uwe man whore
 
ndoa ni scammer kweli ila tatizo ni GENYEEE yani utakufaa na ukimwi unajionaaa labda kama sio rijaliii....!!! utajikuta unapoteza helaa na muda mwingii kuwa na mahusiano tofauti tofauti mwisho wa siku uje kutaka kuuwa watu sababu umetoa mahela wengine wanajiliaa bila uogaa.
Mkuu ata ukioa usifunge ndoa ,kataa ndoa ndoa ni utapel.
 
Future wife wako muda huu wahuni wanamshughulikia halafu wewe unasema umuoe aondokane na uzinzi wakati mwenyewe ameshazoea kuzini, kijana usidanganyike KATAA NDOA
 
ndoa ni scammer kweli ila tatizo ni GENYEEE yani utakufaa na ukimwi unajionaaa labda kama sio rijaliii....!!! utajikuta unapoteza helaa na muda mwingii kuwa na mahusiano tofauti tofauti mwisho wa siku uje kutaka kuuwa watu sababu umetoa mahela wengine wanajiliaa bila uogaa.
Mkuu pigia lamination hii comment Yako mm nitalipia.
 
Mwanamke kabla hajaolewa alikua mtu baada ya kuolewa sasa hakuna rangi jamaa hajawahi kuziona, kabla hajaoa alikua na mipango na malengo makubwa baada ya kuoa mipango na malengo yote imekufa mwanamke hataki jamaa anachotaka anataka anachotaka yeye tu ndio kifanyike sasa huo km sio utapeli ni nini?

KATAA NDOA
Ndivyo alivyomlea.
 
Inakandamiza vipi wanaume na kuwa saidia feminist?

Ndoa sio lazima muingie kanisani. Ukikaa nae miaka miwili ni wako huyo. So labda uwe man whore
Kama kukaa nae miaka miwili ni ndoa sasa mbona wanataka ndoa tena Achana naharusi .
 
Hakuna single mother anaishi na mwanaume mkuu .
Nilitaka nikuvute ili ujieleze mwenyewe kwamba unaishi nae.

Huyo ni single mother kwasababu hicho ambacho unakikimbia mkifunga ndoa bado unaweza kukipata hata kama hujafunga nae ndoa. Na unaweza kuamua kumuacha kiholela anytime kwasababu tumeshakutisha kwamba umeishi nae zaidi ya two years then ni mkeo. So unawaza namna ya kuacha na kukamata mwanamke mwengine kila mwaka ili presumption of marriage isikukute. Utazeeka na magonjwa ya zinaa.

By the way nimekuwekea kipande cha sheria ya ndoa kapambane nacho.
 
Attachments

  • C69FA159-2834-41A9-88E8-AAF03FDBA64E.jpeg
    C69FA159-2834-41A9-88E8-AAF03FDBA64E.jpeg
    66.1 KB · Views: 2
Kama kukaa nae miaka miwili ni ndoa sasa mbona wanataka ndoa tena Achana naharusi .
Nani anataka ndoa wakati tayari anayo na inatambulika kisheria. Wewe ndo hujui unachokitaka na usichokitaka. Mwanamke wa kukufanyia unayoyaogopa anauwezo wa kuyafanya whether uliingia nae ndoa ya kusaini makaratasi au ya kukamatana na kuwekana ndani.

We pambana na hali yako
 
Ndoa ni utapeli na kuzini tutaendelea Kila mtu achume dhambi zake.
Nawe unaeoa tusikuone huku nje kutafuta pisi kimasihara. Endelea kuchakata mbususu Moja mpaka kifo kitakapowatenganisha, usimkumbuke ata mchepuko hakuna kutiana nje😬😬😬
Tuone kama utatoboa🤣🤣
 
Attachments

Inakandamiza vipi wanaume na kuwa saidia feminist?

Ndoa sio lazima muingie kanisani. Ukikaa nae miaka miwili ni wako huyo. So labda uwe man whore
Wewe kinachoongelewa kumbe haukielewi, hio kupiga na kuweka ndani watu haiwasumbui issue inaongelewa ndoa km ndoa
 
Endelea kujidanganya
Nilishawahi kuishi na kinyumba tu, miaka mingi tu nikamfukuza kaenda kwenye sheria alichofanikiwa sio hicho alichotajaria kwani hata kama ningemwacha lazma watoto wangu ningewahudmia tu .ila ningekua nina ndoa ningeumia mno kwan pale kulikua na timu ya single mother wa dawati la jinsia.
 
Wewe kinachoongelewa kumbe haukielewi, hio kupiga na kuweka ndani watu haiwasumbui issue inaongelewa ndoa km ndoa
Ndoa kama ndoa ndo kinachokupeleka mahakamani. Whether mli sign au hamkusign makaratasi ya ndoa. As long as uliishi nae miaka miwili huyo ni mkeo sasa umeepuka nini?
Wewe ndo hujui wala huelewi kinachoongelewa. Ndoa sio kufunga ndoa kanisani, msikitini au serikalini, ndoa inatambulika hata unapoishi na mwanamke miaka miwili na zaidi. Sasa labda ukamate wa kimboka upuyange nao hadi uwe unatoa usaha.
 
Attachments

  • 73F5B8A0-DAA9-4ECD-90CF-1C487B861D1A.jpeg
    73F5B8A0-DAA9-4ECD-90CF-1C487B861D1A.jpeg
    66.1 KB · Views: 2
Nilishawahi kuishi na kinyumba tu, miaka mingi tu nikamfukuza kaenda kwenye sheria alichofanikiwa sio hicho alichotajaria kwani hata kama ningemwacha lazma watoto wangu ningewahudmia tu .ila ningekua nina ndoa ningeumia mno kwan pale kulikua na timu ya single mother wa dawati la jinsia.
[emoji2781] likijaa maji niite .
 
Ndoa kama ndoa ndo kinachokupeleka mahakamani. Whether mli sign au hammusign makaratasi ya ndoa. As long as uliishi nae miaka miwili huyo ni mkeo sasa umeepuka nini?
Wewe ndo hujui wala huelewi kinachoongelewa. Ndoa sio kufunga ndoa kanisani, msikitini au serikalini, ndoa inatambulika hata unapoishi na mwanamke miaka miwili na zaidi. Sasa labda ukamate wa kimboka upuyange nao hadi uwe unatoa usaha.
Yaan usiniletee kipande chochote cha LMA kunielezea huo ushubwada wako nishakwambia hio Sheria ni Mbovu unataka nini kingine?
 
Ndoa ni utapeli na kuzini tutaendelea Kila mtu achume dhambi zake.
Nawe unaeoa tusikuone huku nje kutafuta pisi kimasihara. Endelea kuchakata mbususu Moja mpaka kifo kitakapowatenganisha, usimkumbuke ata mchepuko hakuna kutiana nje[emoji51][emoji51][emoji51]
Tuone kama utatoboa[emoji1787][emoji1787]
Ukiipinga ndoa pinga na Uzinzi,siyo upinge ndoa halafu uendelee kuwa mzinzi!.
 
Back
Top Bottom