Mimi nasoma comment asilimia 90 wanakataa ndoa hio 10 ndio wanaokubali kwa hio washindi wetu ni kataa ndoa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mtu anakaataa ndoa na ameoa.? Humu wanaokataa ndoa mpaka Sasa nimemuona mmoja tu, waliobaki wote wameoa, Ila Wanadai hawana Ndoa.

Yaani wanatumia akili zao ndogo kutenganisha kitenzi na nomino yake.
 
Haolewi ama hapati Ndoa? Mbona unauma uma manene . Mara aliekuoa kaoa Dimbwi la choo.

alafu mkiambiwa kuoa ni kitenzi na ndoa ni nomino. Mnabisha . Kasomeni basi au nd mnakaza fuvu kwenye ukweli.
We nawe unataka kudandia mtumbwi usiokuhusu,

KATAA NDOA
 
Mtu anakaataa ndoa na ameoa.? Humu wanaokataa ndoa mpaka Sasa nimemuona mmoja tu, waliobaki wote wameoa, Ila Wanadai hawana Ndoa.

Yaani wanatumia akili zao ndogo kutenganisha kitenzi na nomino yake.
Ww ndio umekaza fuvu mke wa Ronaldo nae anataka ndoa[emoji3][emoji3]
 
Mzazi wako wa kike alipitia utaratibu upi ?
Aliolewa ama alipigwa mimba bila kuolewa ?
Wewe umedandia mtumbwi usiokuhusu, nmesema onyesha palipoandikwa nendeni duniani mkaoane na kufunga ndoa km hakuna vaa taulo lako alafu kitulize,
 
Na kwann uoe asiyefunzwa na mama yake,huko ni kujitakia at your own risk
 
Kilaza ww kwaio Dada ako sio haramu Yako ? au hujui kusoma nilichoandika ?
Wewe umesema ukishi na mwanamke, na hukuweka kipengele cha unyumba na ndio maana nikatoa mfano wa dada ambae hakuna unyumba, nae atakuwa mke? Sasa kwakuwa umekiri unyumba ni lazima jibu hoja hiyo chini.

Kwamba nikisema tulikuwa na ugomvi kwa miezi mi5 kati ya hiyo 6 hivyo hapakuwa na unyumba bali tulificha ili tu kulea watoto, utabisha?
 
Kiazi.

Ndoa ni nomino.

Kuoa ni kitenzi.

Kama usingizi na kusinzia , utasinzia vipi alafu ukasema Sina usingizi.

Hicho kichwa ama Bichwa.
Hata kufunga ndoa ni kitenzi pia, acha kuvuruga kichwa chako bure. Kuoa ni kitendo kimoja, na kufunga ndoa ni kitendo kingine tofauti kabisa
 
Mzazi wako wa kike alipitia utaratibu upi ?
Aliolewa ama alipigwa mimba bila kuolewa ?
Alafu hivi nyinyi hamuwezi kujiongelea nyinyi km nyinyi mpaka mtaje taje wazazi ndio matobo yenu yanasikia raha au sio? Yaan bila kutaja mzazi hamsikii raha kabisa hadi mtaje taje wazazi sehemu isiyohitaji kutaja wazazi ndio mnasikia raha wenyewe au sio?

KATAA NDOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…