Mtembezi Kichomi
JF-Expert Member
- Feb 24, 2022
- 696
- 993
Mtu anakaataa ndoa na ameoa.? Humu wanaokataa ndoa mpaka Sasa nimemuona mmoja tu, waliobaki wote wameoa, Ila Wanadai hawana Ndoa.Mimi nasoma comment asilimia 90 wanakataa ndoa hio 10 ndio wanaokubali kwa hio washindi wetu ni kataa ndoa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yaani wanatumia akili zao ndogo kutenganisha kitenzi na nomino yake.