Kataa ndoa

Ndoa ni ajira kwa wanawake isiyo halali.. kataa kumpa mwanamke ajira

Ndoa ni umaskini

Ndoa ni rushwa

Ndoa ni fungu la pasu kwa pasu

Ndoa ni tatizo la akili

Ndoa ni wizi

Ndoa ni unyanyasaji wa wanaume

Ndoa ni limbikizo la deni la mafao kwa wanaume wanalopaswa kuwapa wanawake wakiachana

Ndoa ni vita vya kiuchumi zidi ya mwanaume

Ndoa ni mtego kwa mwanaume

Ewe mwanaume Kataa ndoa kadiri uwezavyo na kwa akili na nguvu zako zote
 
Ndoa ni utumwa wa hiari Kwa wanawake
Unaacha ndoto zako na kuanza kutengeneza za mwenzako, mwisho anakuona wewe ndio unamnyonya, anasahau uliyosacrifice kwake.
Unasacrifice uzuri wako kumzalia Kwa uchungu na kumlelea watoto.
Unasacrifice muda wako, umri wako wote kumuhudumia jitu zima lenye midevu yake...
#Kataa ndoa
#ndoa ni utumwa
#Kuolewa sio lazima
 
Kama tutashirikiana namna hii,lazima tuushinde huu UTUMWA wa ndo..
tumeteseka sana..

HAKUNA KUOA
HAKUNA KUOLEWA

KATAA NDOA
 
Mbususu nikuchakata sanaa na hela tuwape vilevile ila NDOA HAKUNA
Tatzo la kula mbususu huanza pale utakapojichanganya na kumpa mimba,hapo hata kama hakuna ndoa lakini lazima mwanaume jasho litakutoka kumhudumia huyo mwanamke na mtoto

KATAENI NDOA LAKIN MSIKATAE DAMU ZENU(WATOTO) na kuwaacha katika mazingira magumu
 
Kama tutashirikiana namna hii,lazima tuushinde huu UTUMWA wa ndo..
tumeteseka sana..

HAKUNA KUOA
HAKUNA KUOLEWA

KATAA NDOA
Hakuna kuoa wala kuolewa, kila mtu aishi maisha yake....mkitaka kuzaa mnaandikishana mkataba wa benefits za mtoto.
Sio mmoja anahenyeka mwingine amekaa ametulia tu in the name of ndoa.
#Ndoa ni utumwa Kwa wanawake
 
Mwanaume wa kweli,mtafutaji,amekua na wazazi tena wenye akili timamu!!!
Hawezi kataa mtoto kama kweli ni wakwake
 
Hakuna kuoa wala kuolewa, kila mtu aishi maisha yake....mkitaka kuzaa mnaandikishana mkataba wa benefits za mtoto.
Sio mmoja anahenyeka mwingine amekaa ametulia tu in the name of ndoa.
#Ndoa ni utumwa Kwa wanawake
Hata nyie mnatunyanyasa sana wanaume...kuna breking niwzi,imetoka jana jioni.mwanaume amenyanyasika miaka 7...
Sasa hiyo ndoaa au jahannam
 
Ila ungesikia mwanamke kanyanyasika miaka 25 wala usingeshtuka.
Imekuwa breaking news kwasababu ni mwanaume
Mpaka hapa tunasema KATAA NDOA haipo kwa mwanamume pekee..
uwe mwanamke uwe mwanaume ni kukataa ndoa kwa nguvu zote bora wakuue..

Tena wanawake wanapaswa kuwa mstari wa mbele kwenye hili kwakua wao ndio huonekana waathirika wakubwa wa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…