Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Nikuibie tu siri.Mpaka hapa tunasema KATAA NDOA haipo kwa mwanamume pekee..
uwe mwanamke uwe mwanaume ni kukataa ndoa kwa nguvu zote bora wakuue..
Tena wanawake wanapaswa kuwa mstari wa mbele kwenye hili kwakua wao ndio huonekana waathirika wakubwa wa ndoa
Mimi binti yangu akiolewa nalia, tena kile kilio haswa unachokijua. Ila sitamwambia asiolewe...uamuzi ni wake.