Mbona mshaanza kuogopa wenzetu, kwani mnaoaga bikra tu? 🤣🤣🤣🤣 Sisi ndio tupo, na Sisi pia hatutaki ndoaaaa.
#ndoa ni utumwa Kwa wanawake Kama utumwa mwingine
 
Acha tukulane mzae na tuwaone matumiz ya mtoto kitu Ila kila mmoja Aish kwake
Uhuru n muhimu zaid
 
Sijasema nitamuozesha. Maisha ni yake afanye analotaka...18 yrs now yupo vizuri na Mungu atasaidia atakuwa vizuri zaidi.

Kazi yangu ni kumjenga asitegemee pesa ya mwanaume. Mengine ataamua mwenyewe.
Huyo ndoa itamshinda na lazima atakuja kuwa mwanachama wa hii kampeni...
Hizo hela unazomuandalia ndio zitamfanya awe mwanachama wa 50/50..
 
Mimi sina pesa ya kumpa wala kitu chochote cha thamani sana. Anapambana mwenyewe kuyajenga maisha yake...yupo mbali na atafika mbali Inshallah.
Sina cha kumpa zaidi ya kumwombea na kumtia moyo.
Yupo tofauti sana na mabinti wengi wa rika lake.
 
Nyie endeleeni na kampeni yenu ya feminist hutuwataki huku msituharibie focus
Tutabanana huku huku na Sisi hatutaki, tumechoka kufugwaa, tumekataa ndoa....mlidhani wanawake ndo tuna shida ya ndoa? Na Sisi hatutaki.....haina kubembelezana, kataaa ndoa🤣
#ndoa ni kukabidhi utu wako mikono mwa mtu mwingine
#kataa ndoa
 
Nyinyi jamaa huwaga nawapinga ila jana nilisikia kauli kutoka kwa manzi angu moja wakati tunaongea kwa simu, alikuwa ana blame mdogo ake wa kiume….ile kauli inaendana na heading hii, ukute mko sahihi daah!…ngoja niendelee kuwaza [emoji28].
 
Kidogo Kidogo mnanivuta kwenye kataa ndoa🤣🤣.
 
Nyinyi jamaa huwaga nawapinga ila jana nilisikia kauli kutoka kwa manzi angu moja wakati tunaongea kwa simu, alikuwa ana blame mdogo ake wa kiume….ile kauli inaendana na heading hii, ukute mko sahihi daah!…ngoja niendelee kuwaza [emoji28].
Tililika Mkuu JF is home of doctors of thinkers
 
Mimi sina pesa ya kumpa wala kitu chochote cha thamani sana. Anapambana mwenyewe kuyajenga maisha yake...yupo mbali na atafika mbali Inshallah.
Sina cha kumpa zaidi ya kumwombea na kumtia moyo.
Yupo tofauti sana na mabinti wengi wa rika lake.
Huyu reaction ya kina fetty Kitambo
 
Mimi sina pesa ya kumpa wala kitu chochote cha thamani sana. Anapambana mwenyewe kuyajenga maisha yake...yupo mbali na atafika mbali Inshallah.
Sina cha kumpa zaidi ya kumwombea na kumtia moyo.
Yupo tofauti sana na mabinti wengi wa rika lake.
Familillah wallah,kama umemkuza katika malezi ya kidini..allah atamfanyia wepesi...
Watu wenye imani wanaotegemea tawaqal ya allah..mungu hawajahi waacha wapotee

Inshaallah muombee sana binti yako (man jitahada wajada)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…