Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Ni kweli. Ndoa za sasa zimekaa kimitego sana. Kuna mzee swala 5 na mtu wa dini haswa na muungwana kupitiliza lakini mke kimeo kwelikweli narudia kimeo kwelikweli. Yule mzee anapata taabu sana na mkewe. Anavumilia basi tu.Nabisha mbona wachamungu wengi tu ndoa zao changamoto lakini wanaficha tu kwa kivuli cha dini
Mpaka huwa najiuliza huyu mtu wa imani hivi anapata maswahibu kama haya inakuaje tena.
Japo na wanaume vichomi kwenye ndoa nao wapo. Nadhani lililokubwa ndoa inahitaji tafakuri nzito kama kuchagua mchele super. Wanawake kwa waume wa sasa ni wa ovyo kimaadili na kiimani hivyo kupelekea athari katika taasisi ya ndoa.