digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Tunahelekea unakohelekea wewe, jifunze kuandika wewe,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hulitaka tuhelekee wapi????[emoji41]Nimetafakali mno usiku wa leo, kwa muda mchache kijana wangu alioniunga hapa Jamiforums nimepata wasaa wa kusoma baadhi ya mada za vijana wakikataa kuoa.
Vijana acheni upuzi, oeni muwe na familia, muwatunze watoto wenu. Utapataje watoto kama hauna familia, yaani ndoa?
Una akili kweli wewe kijana?
Natoa wito kwa serikali na wadau, hawa vijana waanze kusakwa mara moja na wakamatwe, wahojiwe kwanini na wanatumwa na nani, kwa agenda gani na kwa maslahi yapi wanaeneza propaganda za kukataa ndoa.
Selikali anzeni hili mara moja.
Asanteni sana Viongozi wa JamiiForums, nachukua nafasi hii kushukuru.
Majinga kabisa,tuyatenge ,tuyakatae na tuyaseme hadharani hata Mungu yupo upande wetu.Haya yanao kataa ndoa ni machoko yapo yamejipanga kweli kuueneza kwa ghalama yoyote.
Tuyapige vita kwa nguvu zote.
Tumeshawastukia na siku hizi mbili tatu mada zao za kataa ndoa zimeanza kupungua kwakuwa mashumbulizi ni makali.
Thanks mshana kwa kuongoza hii kampeni ya kueneza mapunga kupitia jf.
Mtoto wa kiume unayesimamisha unasemaje kataa ndoa,? Si unataka ubanduliwe wewe.
Ishatoka hiyo.unalakuwafanya nilijua tu.Moderators ame waambia nani Uzi wangu muulete sehemu ya comment kwenye uzi mwengine,naombeni uzi wangu muurudishe si kila mtu ataweza kuuona mkiuweka humu kwa kuwa kuna somo juu yake,naombeni muutafutie kichwa cha habari kizuri kisha ukae mahala pake.Nimetumia muda mwingi kuuandaa huu uzi nia na lengo na watu kutaka kuelewa dhima ya ndoa.Please najua nyie ni waelewa wazuri ndio maana mpo kwenye kitengo hiko basi naombeni mshughurikie tatizo langu.
Humu ulipokaa sio Jamii yote ikaona huu ujumbe.
Hahahahaa kweli kaka now ndio naona,yaweza ikawa kuna sehemu nilikosea ila fresh lengo ni moja mkuuIshatoka hiyo.unalakuwafanya nilijua tu.
Kweli kabisa unakututa kuna mtu mzima wa miaka 40 na bado anaongea huu upuzi etii KATAA NDOA...Hapana wengi ni watoto yani wanategemea wazazi,wanaushi kwao na hawana majukumu vilevile wengi wapiga nyeto
Kwakweli ila kuna vijana hapa wanaona na wanafwata, mitandao kwa sasa imekuwa nikitu cha kipaumbele mnoo, kuliko Mungu Dah inasikitisha sanaaMambo mengi ya mtandaoni hasa kampeni huwa nayana uhalisia wowote.
Mitandao inafanya watu kuwa wategemezi kwenye mambo ambayo hata wao binafsi wangeweza kujisimamiaKwakweli ila kuna vijana hapa wanaona na wanafwata, mitandao kwa sasa imekuwa nikitu cha kipaumbele mnoo, kuliko Mungu Dah inasikitisha sanaa
😂😂😂🤓🤓🤓 Daaah kweli watu mpo serious anSalama wakuu,
Hivi karibuni katika jamii yetu kumeibuka kauli ya "KATAA NDOA NI UTUMWA, WIZI, UTAPELI N.K" wakati nasikia na kusoma humu jamii forum either katika koment au uzi wenye maudhui ya hivyo nilikuwa naelewa sababu za kiuchumi.
Yaani sasa hivi kwa kuwa wanawake na wao wanafanya kazi na wanaendekeza ubinafsi hawataki kuchangia chochote katika familia nikaona vijana wa kiume kwa upande flani kama wana logic ya kukataa japo sikubaliani nalo sana hilo swala la kuchangia pesa na mke maana jukumu la familia ni la mwanaume.
nikawaza tena labda kwa kuwa wanawake wametumika sana kabla ndoa hivyo kijana anaona anaoa makombo au anafikilia huyu mke atawasahau kweli maex zake.
Lakini baada ya kusikia na kushuhudia habari za UPINDE "ushoga" ikanifanya niwaze tena pengine vijana wanakataa ndoa ili kujificha jamii isijue kama wanapumuliwa na wanaume wenzao.
maana sielewi kwanini mwanaume rijali anakataa ndoa sehemu ambayo anaipata mbususu free mda wowote akihitaji kama sio UPINDE ni nini kingine?