Wahenga walisema,ukiona mwenzio ananyolewa,tia maji. Mara ngapi mwanaume akizaa mtoto nje anamwambia mkewe? Malipo si watoto hao wanakataliwa? Na maranngapi wanawake wanaleta mimba za nje na kusingizia wanaokaa nao ndani? Mwanaume anahangaikia uongo wa kunguru,mtoto akimaliza chuo kikuu,kwa ada zako,unaambiwa mtoto huyu siyo wa kwako. Af ukute familia ya watoto 5, huna hata mmoja. Na baiskeli huna,kisa unalea na kuaomesha. Achana na hao viumbe aiselakini kwa hili linaoendela katika jamii yetu uoni ata wanaume wenye matatizo wanajifichia humo humo kwenye hii kampeni