Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
lakini kwa hili linaoendela katika jamii yetu uoni ata wanaume wenye matatizo wanajifichia humo humo kwenye hii kampeni
Wahenga walisema,ukiona mwenzio ananyolewa,tia maji. Mara ngapi mwanaume akizaa mtoto nje anamwambia mkewe? Malipo si watoto hao wanakataliwa? Na maranngapi wanawake wanaleta mimba za nje na kusingizia wanaokaa nao ndani? Mwanaume anahangaikia uongo wa kunguru,mtoto akimaliza chuo kikuu,kwa ada zako,unaambiwa mtoto huyu siyo wa kwako. Af ukute familia ya watoto 5, huna hata mmoja. Na baiskeli huna,kisa unalea na kuaomesha. Achana na hao viumbe aise
 
Kwenye ndoa kuna mengi...
Si umeona yaliyotokea zenji..
Ndoa ni matatizo
lakini ni nadra sana mtu anaejijua anamatatizo akakubali ndoa kirahisi yule mpaka kakubali means anajijua anaweza kumudu mkewe issue kwa vijana wa sasa hivi kukataa kabisa alafu na mazingira haya yanaoendelea wewe aikutii mashaka mkuu?
 
sasa tutaamini vipi unazichakata?
Kwani ukioa ndio unachakata mkuu. Yaani wewe huchakati mpaka uoe. Unataka kwenda kuchakata ndoani. Utatoka huko mpaema sana.
Katiba ya kataa ndoa moja ya sababu yao.
Unajifunga, ndoa ni wizi,
 
Wahenga walisema,ukiona mwenzio ananyolewa,tia maji. Mara ngapi mwanaume akizaa mtoto nje anamwambia mkewe? Malipo si watoto hao wanakataliwa? Na maranngapi wanawake wanaleta mimba za nje na kusingizia wanaokaa nao ndani? Mwanaume anahangaikia uongo wa kunguru,mtoto akimaliza chuo kikuu,kwa ada zako,unaambiwa mtoto huyu siyo wa kwako. Af ukute familia ya watoto 5, huna hata mmoja. Na baiskeli huna,kisa unalea na kuaomesha. Achana na hao viumbe aise
kwa nini usiwaze nimelea watoto watano niliozaa na mke wangu sasa hivi wanamaisha mazuri wananisaidia mahitaji ya hapa na pale nikihitaji?
 
kwa nini usiwaze nimelea watoto watano niliozaa na mke wangu sasa hivi wanamaisha mazuri wananisaidia mahitaji ya hapa na pale nikihitaji?
Utawaza hayo kwa nini,labda umeshaambiwa watoto siyo wako?
 
Kwani ukioa ndio unachakata mkuu. Yaani wewe huchakati mpaka uoe. Unataka kwenda kuchakata ndoani. Utatoka huko mpaema sana.
Katiba ya kataa ndoa moja ya sababu yao.
Unajifunga, ndoa ni wizi,
kuoa ni ishara moja wapo ya kuonesha wewe ni mkamilifu "RIJARI" usioa ni kinyume chake
 
Siyo wachafu wote. Lakini,kinachotokea ni uhalisia wa jamii inayotuzunguuka
kwahiyo sasa hivi vijana tunafeli kuchagua wenza mpaka tunakataa kuoa au kuna kitu nyuma yetu tunajificha katika kimvuli hiko?
 
Watoto wa kiume wa sasa laini sana ndiyo maana mabinti wanawapanda kichwani na kuwapelekesha puta kwenye ndoa.
 
Salama wakuu,

Hivi karibuni katika jamii yetu kumeibuka kauli ya "KATAA NDOA NI UTUMWA, WIZI, UTAPELI N.K" wakati nasikia na kusoma humu jamii forum either katika koment au uzi wenye maudhui ya hivyo nilikuwa naelewa sababu za kiuchumi.
Yaani sasa hivi kwa kuwa wanawake na wao wanafanya kazi na wanaendekeza ubinafsi hawataki kuchangia chochote katika familia nikaona vijana wa kiume kwa upande flani kama wana logic ya kukataa japo sikubaliani nalo sana hilo swala la kuchangia pesa na mke maana jukumu la familia ni la mwanaume.
nikawaza tena labda kwa kuwa wanawake wametumika sana kabla ndoa hivyo kijana anaona anaoa makombo au anafikilia huyu mke atawasahau kweli maex zake.
Lakini baada ya kusikia na kushuhudia habari za UPINDE "ushoga" ikanifanya niwaze tena pengine vijana wanakataa ndoa ili kujificha jamii isijue kama wanapumuliwa na wanaume wenzao.
maana sielewi kwanini mwanaume rijali anakataa ndoa sehemu ambayo anaipata mbususu free mda wowote akihitaji kama sio UPINDE ni nini kingine?
Kama siyo upinde ni mshale..
 
lakini ni nadra sana mtu anaejijua anamatatizo akakubali ndoa kirahisi yule mpaka kakubali means anajijua anaweza kumudu mkewe issue kwa vijana wa sasa hivi kukataa kabisa alafu na mazingira haya yanaoendelea wewe aikutii mashaka mkuu?
Yaaani unajua hiyo zana unaileta wewe tu .
Lengo la kukataa ndoa sio kwa sababu tunasapport hayo mambo.
Behind ya kataa ndoa ni kubadilisha ladha tu
 
Ukiona mwanaume Yuko kwenye kampeni ya kukataa ndoa ujue anakatwa anataka kuolewa yeye
 
Mbona askari aliyefirwa alikuwa kaoa na watoto 2 kabisa pumba thread shitttttt
askari uwezi jua labda alianza baada ya kuoa, sizani kama aliaanza kabla ya kuoa angeoa huyo mke na yeye angekuwa muunga kampeni
 
Back
Top Bottom