Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
NDOA NI UTUMWA
NDO NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI MATATIZO
KATAA NDOA KIJANA
NDO NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI MATATIZO
KATAA NDOA KIJANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu inawezekana ikawa sababu anamuiga babu yake hajawahi kuoa lakini enzi za babu zetu na sasa hivi vijana wangapi ni upinde? hili swala linatia mashaka sanaKuna watu wanazeeka hadi kufa hawajawahi kuwaza kuoa nao mnawaweka wapi mana ni kioo kwa Genera zilizofuata nyuma yake au nao tuwaunge kwenye UShoga.
Na kuna machoko ila wameoa kama kivuli nayo mnawaweka wapi Kwakuwa yameo ila still Elton John.
ukikataa ushoga means unasupport ndoa Au sio?😂😂😂🤓🤓🤓 Daaah kweli watu mpo serious an
Pia ushoga tunakataa mkuu
Wamechoka sasa kujificha kwenye mwamvuli wa kuoa wakati mambo ndivyo sivyo, sasa bora waanzishe kampeni ili mkiona hawajaoa mjue wanawake ndio tatizo kumbe sivyo!!Kuna watu wanazeeka hadi kufa hawajawahi kuwaza kuoa nao mnawaweka wapi mana ni kioo kwa Genera zilizofuata nyuma yake au nao tuwaunge kwenye UShoga.
Na kuna machoko ila wameoa kama kivuli nayo mnawaweka wapi Kwakuwa yameo ila still Elton John.
kwa kuwa nagusa yanayojificha nyuma ya pazia SAWA MKUUUwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana
Ndoa za siku hz wanaoana wawili Wasiopendana.Wamechoka sasa kujificha kwenye mwamvuli wa kuoa wakati mambo ndivyo sivyo, sasa bora waanzishe kampeni ili mkiona hawajaoa mjue wanawake ndio tatizo kumbe sivyo!!
Kwani kukataa ndoa means nakataa mbususu auukikataa ushoga means unasupport ndoa Au sio?
Kwahiyo mfanye wenyewe ujinga then mtafute wa kumlaumu!!!Ndoa za siku hz wanaoana wawili Wasiopendana.
Mmekutana kwa sababu fulani ( Condition)
direct unamaanisha hivyoKwani kukataa ndoa means nakataa mbususu au
Mwenyewe keshaongelea makombo. Uarabuni,mwanamke anakua ni pambo,anagegedwa, anazaa na kulea familia. Uhuni, kiasi tu. Sasa huku,kasoma, mwalimu anagegeda, wanafunzi wenzie ndo hivo. Akiingia chuo, zoezi la kila mara ni kutoa mimba. Kajifanya mlokole na kupelekwa kunakoitwa kwenye ndoa,kaajiliwa,Boss na wafanyakazi wenzie wanapiga tu. Kaenda baa,akienda kukojoa, kuinuka tu,mlevi mwenzie wasiefahamiana tayari anagonga. Sasa, huyo huyo, hafanyi chochote nyumbani,kuzaa kwenyewe huenda imeshindikana, na kama kazaa, hana habari na watoto, analea house geli, huyo utamuheshimu wa nini? Huyo si bora housegirl anayekulelea watoto?Ngoja ije ile ile team ya Kataa Ndoa FC nione huu mtanange kama wa MANU vs LIVERPOOL.
Dada mbona mkali.Kwahiyo mfanye wenyewe ujinga then mtafute wa kumlaumu!!!
Hapana...direct unamaanisha hivyo
sasa tutaamini vipi unazichakata?Hapana...
Sisi tunacho kataa ni NDOA sio lile tendo
Hapo ushanipata sasa sio
Huo ujinga hauwezi nikuta hata kwa bahati mbaya. Niko na akili zangu timamu.Dada mbona mkali.
Usijiondoe na wewe umo humo kwenye huo ujinga kwa namna moja au nyingine
Kwa jinsi navokataa ndoa unaona wazi ni vipi sipendi kula mboga moja kila sikusasa tutaamini vipi unazichakata?
lakini kwa hili linaoendela katika jamii yetu uoni ata wanaume wenye matatizo wanajifichia humo humo kwenye hii kampeniMwenyewe keshaongelea makombo. Uarabuni,mwanamke anakua ni pambo,anagegedwa,anazaa na kulea familia. Uhuni,kiasi tu. Sasa huku,kasoma,mwalimu anagegeda,wanafunzi wenzie ndo hivo. Akiingia chuo,zoezi la kila mara ni kutoa mimba. Kajifanya mlokole na kupelekwa kunakoitwa kwenye ndoa,kaajiliwa,Boss na wafanyakazi wenzie wanapiga tu. Kaenda baa,akienda kukojoa,kuinuka tu,mlevi mwenzie wasiefahamiana tayari anagonga. Sasa,huyo huyo,hafanyi chochote nyumbani,kuzaa kwenyewe huenda imeshindikana,na kama kazaa,hana habari na watoto,analea house geli,huyo utamuheshimu wa nini? Huyo si bora housegirl anayekulelea watoto?
Daaah 😂😂😂😂Huo ujinga hauwezi nikuta hata kwa bahati mbaya. Niko na akili zangu timamu.
Nchi hairuhusu hayo mambo yenu, oneni hata aibu basi!! Tuwalaumu baba zenu kwa kutowalea kuwa wanaume.
Si ajabu huna ndoa na huelewi kabisa kuhusu ndoa.Huo ujinga hauwezi nikuta hata kwa bahati mbaya. Niko na akili zangu timamu.
Nchi hairuhusu hayo mambo yenu, oneni hata aibu basi!! Tuwalaumu baba zenu kwa kutowalea kuwa wanaume.
inawezekana kweli lakini haiwezekani hata hao upinde wakajificha katika hiki kichaka cha kataa ndoa?Kwa jinsi navokataa ndoa unaona wazi ni vipi sipendi kula mboga moja kila siku
Natamani niwe nabadilisha badilisha kila siku hapo unaamini sasa
Kwenye ndoa kuna mengi...inawezekana kweli lakini haiwezekani hata hao upinde wakajificha katika hiki kichaka cha kataa ndoa?